Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Shalom wanpendwa. Natafta mtu anaye jua node js anifundishe kwa kiswahili maana kiingereza ni Tatizo Kwangu. Ntamlipa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa tech poleni kwanza na shuguli zenu pamoja na vyuma kukaza. Nataka kununua friji dogo la kutumia kwa sh laki 4 adi laki 4 na 50 la kunitosha manake nipo single sitakuwa na makorokoro...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu wa jukaa, kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, kwa wale wenye utaalamu na muda wa kutosha ku-design Templates za website, blogger na hata Wordpress na kuziuza au kuzitoa for...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamii.... Ningependa kujua huwa mnatumia vigezo gani kuchagua air condition? 1. Je ukubwa wa eneo husika mfano ya chumbani na sebuleni nini tofauti? 2. Eneo husika , je maeneo ya joto...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
FULL MAUJANJA NJIA ZA KUEPEKA USUMBUFU WA SIMU JARIBU SASA Kama hutaki usumbufu pia unaweza ku forward simu zote na ukapata sms pindi mtu akikupigia *21#0754125125#ok hii ni kwa voda. Kwa zantel...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa wale wataalamu wa computer au hata ujuzi mdogo, naomba kujulishwa ipi ipo juu Kati ya Pentium inside na core i3 pc.
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari wakuu, I short kuna tatizo naliexperince kwa sasa kwenye jf app ya android OS ambalo linanikosesha raha kabisa. Yaan nikienda kwenye kipengele cha notifications naoneshwa ambazo ni za...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Anayejua jinsi gani naweza kubypass uplay kwenye far cry3 naomba anipe maelekezo maana nimekwama
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hili tatizo lilianza kama utani _mstari mmoja horizontal lakini sasa imejaa na inafanyaflickering
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari wana JF.. Leo nimekuja na wazo baada ya watu wengi kunieleza huko PM kuwa wanahuitaji wa vitabu kuhusu mambo mbalimbali kwenye tasnia ya techology.Nimekuja na wazo la kuweza kutengeneza APP...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya jameni linapokuja suala la traffic data za blog yako naamini ungependa ziwe private mwingine asijue source yako kubwa ya traffic unayopata inatoka wapi. Kila kampuni ina mshindani wake na...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
BAADA YA KILIO CHA MUDA MREFU,LEO NIMEONA NIONGEE NA WATANZANIA JUU YA NAMNA YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E153. NAONGEA KWA KUJIAMNINI KWA SABABU MIMI SI MUANZILISHI WA HUDUMA HII BALI NI...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
wanasema ukidelete account yako ya whatsapp uka un install ukaja uka install tena unakua automatically unblocked from people who blocked you before. Nimejaribu several times ila bado...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wanna jf naomba mwenyekujua anisaidie jinsi ya kuweka black background kwenye Simu ya Samsung Galax j7 prime. Yani isiwe wall paper background yote nninapo fungua ukurasa wa contact...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii simu ni toleo jipya kabisa la tecno na imeingia sokoni mwaka huu mwezi wa nane mwishoni na hapa tz imeanza kuuzwa kuanzia mwezi uliopita Nawaona sasa tecno wakirudi kwa kasi na wanaanza...
2 Reactions
168 Replies
38K Views
Msaada wa hilo jamani mweee
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naomba msaada jinsi ya ku Update browser kama text inavyosema, sijui nianzie wapi, nliuliza google wanasema ni Update google play, ambaye ana utaalam wa hiyo kitu
0 Reactions
3 Replies
784 Views
Back
Top Bottom