Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hivi karibuni google yawezesha watumiaji WA safaricom Kenya kufanya malipo ya kununua apps ndani ya play store Kwa kutumia M-pesa xpress payment Iyo fursa imekuja hivi karibuni na hipo on...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada nina laptop yangu aina ya lenovo ilikua inagoma kuwaka ikabidi nipige window ila nikiwa napiga window inakuwa nzito inakaa muda mrefu kwenye window is starting...ikivuka inakuja kugoma...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Natafuta kava la simu aina lg Q6 anaejua yanapo patikana haya makava naomba msaada wake
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Msaada jamani hii laptop nikitumia baada ya muda inakua ya moto na kuanza kufanya kazi poleplole sana nisaidieni wakuuu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kama unahitaji free internet unlimited for 1 month kwa shiling 5000/= njoo inbox make sure unatumia voda au airtel
10 Reactions
94 Replies
11K Views
Simu yangu haifuti sms. Kila nikidelete sms au thread yoyote haikubali, nisaidieni nifanyeje nifute zile zingine,
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari Natafuta kwa Haraka mtu mwenye ujuzi wa kusetup na ku configure Oracle Real Application Cluster (RAC) na Oracle Dataguard.mwenye interest anaweza nitafuta kwa barua pepe...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Nina tv yangu flat tv aina ya BOSS INCH 24 imegongwa kioo kikafa, so naweza nikapata kioo kwa Tanga au Dar na kinaweza kufika shilling ngapi?? Msaada please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unafanya biashara au unasimamia account ya WhatsApp / namba ya simu ya kampuni au taasisi, hii ni mahsusi kwa ajili yako. App hii inakuwezesha kusajili namba ya simu kuwa 'WhatsApp business...
9 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari wakuu. Naombeni mnijulishe software ya kupunguza ukubwa wa MB kwenye video clips ila sasa kama ni mp4 ibakie mp4 hivyo hivyo and the like. Sitaki iharibike quality ya video. Natanguliza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za humu ndani. Mimi ni kijana ninataka kujifunza plogramming na nnataka ku deal na complicated app za Android zinazoendesha miamala na website zinazoendesha miamala ya fedha. Ninaomba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wadau wa tecno,naomba kufahamu jinsi ya kujisajiri kwenye hii app ya tecno spot,nimejaribu kwa kutumia gmail yangu imegoma,msaada.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
any one how know how to activate sim card in dell laptop plz help me or help me with drivers link kama ujua sehem za patikan
0 Reactions
1 Replies
462 Views
Watu wengi hufungua email accounts kwa sababu maalumu. Moja ya sababu kubwa ya watu wengi kufungua emails kwa sasa ni pamoja na: -Kuongezeka kwa maombi kwa njia ya mtandao (online applications)...
12 Reactions
24 Replies
12K Views
Kama kichwa cha Mada kinavosema, nahitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kutumia Tigo Pesa API
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu salaam, Mie mgeni bwana kwenye hizi mambo,sasa nimefungua blog ya google nikabadikisha theme nikaweka zile zinazosupport ads[zile za bure] ila imekuja na maneno ya kifaransa nashindwa...
0 Reactions
4 Replies
927 Views
nina simu yang infinix x5100 tangu tangu juzi inasumbua upande wa storage , inaonyesha kua ina available space ya 8gb ina ukiweka nyimbo kumi inagoma inaleta alert ya no enough space,, msaada we...
1 Reactions
3 Replies
598 Views
Wadau nina blog yangu ipo katika hatua za mwisho kukamilika lakini tayari ipo hewani, blog hii inadeal na nafasi za kazi na nafasi za ufadhili wa masomo(scholarships) mainly Tanzania, kwa ujumla...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
wataalamu wa excel msaada. Mimi ni mwalimu. Nina orodha ya wanafunzi wangu na alama walizopata katika mtihani. Lengo ni kubadilisha alama katika asilimia kwenda kwenye mfumo wa daraja A, B, C , D...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu habari, Nimeingia Watssap yangu nimekuta namba yangu imedownload baadhi ya video ambazo huwa zinatumwa kwenye group hilo na ni kitu ambacho huwa sifanyi. Kisha ikaweka Viemoji vya kucheka...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Back
Top Bottom