Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Oi wadau wangu Wa magames mpo? Sasa leo nimeamua kuanzusha huu Uzi na nitawaleza jinsi ya kurushiana games za pc au android. Step ya kwanza Download team viewer Kama inatumia pc download na kama...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wataalamu? Naomba msaada mita yangu ya 3phase imegoma kuwanya kazi haina mawasiliano je kuna namna ya kuirekwbisha? Haiwezi hata kusoma unit zilizobakia.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kujua maduka ya spare za laptops kkoo, ninahitaji lcd screen, keyboard na battery. Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie kutambua utofauti ulioko kati ya 4G na LTE maan kuna vifaa huwa vimiwashwa data huwa inapanda LTE na vingine huwa vinapanda 4G pekee sasa nataka kujua kama spidi...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wakuu habari, naomba msaada wa kujailbreak iPhone 5s. Shukrani
0 Reactions
6 Replies
606 Views
Wakuu, hii Laptop inaniumiza kichwa kwanza ni ngumu kuingia kwenye BIOS Setup, pili haitaki kabisa kuwaka bila kuchomeka chaja kwenye umeme lakini ukichomoa wakati umewasha haina shida, hata...
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Nimekua nikiunganisha simu (smartphone) kwenye PC na kuitumia kama modem kwa muda mrefu, lakini ghafla imenigomea, inaniandikia "USB Device Not Recognized"....inakataa kuonekana/kusoma. Je...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii kitu sielewi nisolve vp
0 Reactions
0 Replies
482 Views
kwa wale tuliochakachua vingamuzi vya startimes naona wamestuka hawa jamaa tangu lastweek ukifungua zile channel zetu inatoa icon ya warning NON COMAX PROGRAM alafu akitoki kinakaa katikati ya tv...
2 Reactions
139 Replies
31K Views
Hlw, samahan naomba kuuliza mfano kama mtu ana model number ya tv yako anaweza kuifunga isionyeshe pic au kuondoa mwanga? Koz tv yangu ghafla leo imeanza kufifia mwanga mpaka kutoonyesha kabisa...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Jamaa amepata course mbalimbali za ICT anakazi nyingi za ICT amezifanya na kwa kweli ukimfuatilia yuko deep. Mjamaa mwingine a na degree ya education physics na ICT chuo kikuu kamanmasomo yako ya...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kutokona na migao ya Stima (Umeme) isiyoisha Bongo ninaomba ushauri juu ya njia gani zaidi inakuwa bora kati ya Inverter au Generator kwa ajili ya Standby Power Source. Taja faida na hasara ya...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Nisaidieni jamani zamani ilikuwa nikipewa like nataarifiwa, mtu akini quote nataarifiwa lakini siku hizi kimya nifanyeje ili iwe kama zamani (hali hii imeanza kama wiki mbili zilizopita)
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Watalaam,keyboard ya laptop tajwa hapo juu namba nyingine zinanasia na inavumbi sana. Mi sio fundi,ila naomba mnijuze jinsi ya kuifungua,halafu nipulize blower. Natanguliza shukrani
1 Reactions
1 Replies
650 Views
Habari wakuu, Nina Nokia Lumia 1320, ilikata tu network yenyewe then ikaja ikazima tu. Kila fundi a napiga Dana Dana, wa hardware anasema itakuwa software, na wa software anakwambia itakuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu nina modem ya ngu ya HUAWEI sasa inatumia laini moja tu nilkuwa nataka ku UNLOCK iweze kutumia laini zote,naombeni msaada mwenye software inayofanya kazi ya ku UNLOCK anisaidie jamani
0 Reactions
2 Replies
595 Views
Jamani laptop yangu nilimpa mtu kwa matumizi fulani ila kwa bahati mbaya akaenda kupiga window na kufuta mafaili yangu yote muhimu zikiwemo picha zaidi ya 3500,Audio zaidi ya 10000,video zaidi ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
PC yang nimezima nikatoka kuludi kuwasha inawaka lakini haidisplay na nimefungua hata fen haizunguki naombeni msaada
0 Reactions
5 Replies
804 Views
Gheto kuna mtu kaibiwa simu nokia ya android ila aliyeiba mpk leo hajatoa line ukiipiga inaita msaada hapo jinsi ya kumdaka huyo mtu
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Nataka kununua simu moja kati ya hizo tajwa hapo juu, ila sijajua tofauti yake hasa ni nini na ipi ni bora zaidi. Wajuvi wa mambo msaada. Au kama kuna simu kali zaidi ambayo...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom