Msaada wa mawazo juu ya project ya ICT kwa bachelor level iwe ya web based (sanasana php-html-mysql).
Note: nahitaji mawazo au problem statement au tittle ila sio kununuaaa.. naweza kutengeneza...
Kwema jameni.
Nahitaji msaada kwa anaeelewa hii kitu: Nina IP Cameras ambazo naweza kuona footage nikiwa kwenye network.Using Mxeye, naweza kuona footage kwenye tablet,lakini nikitoka nje ya WIFI...
PC Yangu imeanza kizingua kuwaka tangu jana. Ukiiwasha inawaka Ila inakuwa Ya black na kuna kimstari kinablink nimejaribu option kadhaa Kama esc , Ctrl, alt na delete still...
Simu yangu Microsoft Lumia 640xl, nime reset simu sasa kila Niki download app zinakataa na linakuja neno simu imeshindwa kudownload "error code 80070020" sasa nimeshindwa kujua tatizo nini
Yaani nimefanya karibu setting zote ambazo nimeambiwa ni muhimu lakini wapi!!!!
Ajabu ni kule kwenye statistics Upload inakuwa kubwa lakini huku kwenye download
ni 0.30 kbs ikipanda sana inafika...
Habari zenu wakuu?
Samahani wakuu, naomba mwenye kufahamu jinsi ya kubadilisha au kuweka OS kwenye hizi android devices kama smartphones au tablets naomba unifundishe zile basic stages/Steps...
Nina inverter aina ya Genus 800va, nimeambiwa inaweza kutumika kama back up sestem,kwamba Umeme unapokatika inajiwasha yenyewe. Betri ninazo ,shida ni namna ya kuunganisha,Mwenye ujuzi Tafadhali
Heri wadau.
Naomba msaada wenu.Kuna machine hizi za Kichina aina ya Positivo BGH.Inarun Windows 10. Sasa nashindwa kubypass Logon Account Password. Software kwingine inafanya kazi vizuri tu,ila...
Habari zenu wadau
Nina samsung j5 pro haina mda mrefu tokea nmeinunua ila gafla tuu haisomi line tena nmei reboot nmee restore but nothing help pleas
Chief mkwawa na wengine msaada pleas
Asante
Wakuu nimkutana hiyo home screen ya simu humu humu jf nimemuuliza alietuma hajajibu nadhani atakuwa hajapata notification sasa nataka kujua kama ni aina ya simu ndio Inaweza kufanya hivi au ni...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mtu wa ukweli wa kunifanyia kazi hiyo ya youtube na kukamilisha kazi yangu ndani ya wiki moja au mbili, tafadhari subscribers wawe really malipo kazi...
Habari wakuu, tatizo langu ni kwamba kila nkiwa napiga mziki kwenye redio yangu nikaongeza sauti tu basi inakata sauti yote hadi nichomoe power plug alaf nirudishe tena, sijajua tatizo nini ingawa...
nataka kununua mi power bank 10000 mAh kupitia online seller kwa dar, bei yake 36,000 plus usafiri 3,000 jumla 39,000. Je ni bora au kuna brands nyingine bora zaidi? Naomba ushauri wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.