Hi guys, by coincidence nime wipe data, nilipobonyeza 'WIPE eMMc, naomba msaada please how to recover my data,maana nimelost CONTACTS,NOTES, PHOTOS,etc
Chombo cha angani na kazi zake muhimu
Vyombo vya anga vinaundwa kwa kazi nyingi pamoja na mawasiliano, kubeba vifaa vya kutazama dunia au hali ya hewa, kufanyia utafiti sayari nyingine au...
Habari zenu Waungwana,bila kutegemea nilikuta simu yangu aina ya Samsung galaxy Grande Prime imefungika,kuna maandishi madogo yanasema "Your PIN has been blocked,enter PUK to continue".hiyo card...
KWA miaka takriban 100 sasa dunia imeshindwa kutengua kile kinachoonekana kuwa kitendawili kigumu, kuhusu kuwepo Vyombo vya Anga maarufu kwa jina la UFO.
UFO ni 'Unidentified Flying Objects,'...
Habari, Nimetengeneza Micro-finance Management System, ambayo itafaa kutumika kwa vikundi vya akiba na mikopo , pia ni useful system kwa organization ambazo zinafundisha masuala ya Saving and...
Wataalamu nisaidieni. Mozilla browser haifanyi kazi. Nadhani ime-crush. Nimejaribu ku install upya inaleta pop message kuwa Your Mozilla Fire Fox profile is unavailable or not accessible...
Natumai mko salama wanaJf wenzangu katika ukumbi huu.
Naomba msaada wenu tafadhari, nina laptop tajwa hapo juu. Nina muda mchache sana (Chini ya mwezi mmoja) tangu nianze kuitumia.
Lakini...
Habari wanajamvi,
Hakuna asiye yajua maumivu ya bili kubwa ya umeme iwe masikini ama tajiri.Katika makala hii nitazungumzia namna ambavyo unaweza kupunguza bill kubwa ya umeme katika...
voda wametoa promotion mpya sjajua kama imekua posted humu kwa sh 500 utatuma sms bure, kupiga simu na internet unlimited kwa siku nzima.
Then kitu nlichokuja gundua ni kua wanaangalia mnara...
Naomba mnipe mawazo na msaada namna ya kupata simu yangu iliyopotea.
Simu imeibiwa ndani ya week moja iliyopita na laini zangu hazikuwa hewan lakini toka majuzi kila nikipiga kwenye lain zangu...
Habarini wanajamiiforums,Nilikuwa ninashida moja nilikuwa nimetengeneza server kwa kutumia virtualbox server yenyewe ni ya Ubuntu servers,
sasa shida ni kwamba IP niliyoweka kama IP ambayo watu...
Tunahitaji mtaalamu wa graphics and video production atengeneze tangazo (katika video) kwaajili ya ku-promote mobile app yetu.
Kama una skills za kutosha tuwasiliane mara moja. Tuma sample 2 tuu...
Habari zanu Wana technology naomba Kujua kama jambo hili linawezekana ni kwamba nataka ku upgrade samsung note 5 kutoka android video 6.0.1 mashlow kuwa 7.0 nougat model ya simu ni GALAXY NOTE 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.