Habari wadau. Naomba msaada kwa anayejua kuondoa hii kitu. Ni Samsung S7 mpya. Toka last week imegoma kabisa nimefanya factory resert lakini inagoma na inaweka notification kwenye screen juu...
Wataalamu naomba msaada wenu. Simu yangu aina ya Samsung galaxy note one imegoma kabisa kushika mtandao wala kudisplay imei. Ukiiwasha inawaka kama dk 2 tu then inastack na kuzima.
Pia...
Kuna jamaa anataka kuniuzia
Laptop dell isprion core i5 kwa laki 450
Specificationa za computer
Core i 5 3337U
Processor 2.60Ghz
Graphic card 2GB dedicated video
HDD 500GB
RAM 6GB
Je wakuu kwa...
Stripped-down version of site to be offered by 50 wireless operators
SAN FRANCISCO - Facebook has teamed up with 50 wireless operators to offer cell phone users a stripped-down version of the...
.ga ni domain ya gabon lakini pia inaweza kutumika worldwide maana jina lakesio baya. kama wewe ni webmaster na huna budget ya kutosha kununua domain itakufaa hii nenda website hii upate domain...
Kwa wenye Windows 10 sasa Kali Linux Penetration Testing Distro inapatikana Windows Store. Inabidi uwashe Linux Subsystem kwanza, maelezo zaidi:
Kali Linux for WSL now available in the Windows Store
Jamani msaada kwa yeyote aliyewahi kutuma pesa nje ya nchi kwa kutumia western Union naomba anitoe ushamba.
Najua hii huduma TPB ipo lakini sijui ukienda kutuma unafuata hatua gani na gharama...
Wakuu nina kisimu cha button tecno T349 Tangu juzi kinaandika no service nkitoa line kinasema Insert sim card Je shida ni nini wakuu kwa sim one na sim two zote slots, kunakipindi kilikuwa...
Samahani Wana jamvi, Kama kuna mtu anatumia au ameishawahi kutuMia Tv Aina ya BOSS naomba anipe experience yake kuhusu hii brand, nataka niinunue, nilipita sehemu ilikuwa inaonesha nilivutiwa sana...
Habari wakuu. Kama Kuna wataalamu wa blockchain technology na wenye uelewa wa cryptocurrencies naomba wanicheki WhatsApp 0768734611. Kuna project nataka kufanya na kampuni ya nje ila nataka mtu...
Habari wana jamvi, pamoja na vyuma kukaza nimejichanga nikapata sh laki4 hivi kwa ajili ya kununua simu. nimekuja kwenu ili mnipe msaada na ushauri nichukue simu ipi kwa bajeti hiyo. sitaki tecno...
Whatsapp has not yet provided a means to clear recent emojis.
But if you are facing a problem of un wanted emojis on a recent tab, just simply do the following:
Go to emoji tab; select 35...
HOW TO GET STARTED
1.First and fore most if your remote is full functional You have to enable "Remote control" in your QSAT from OFF to ON and if by any means yours is deceased or some buttons...
Kwenye uzinduzi wa mfumo wa usajiri wa laini kwa alama za vidole yaan biometric sim card registration, mkurugenzi alisema..
"Mfumo huu ni wa usajili wa laini za simu kwa kutumia Baiometria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.