Wakuu juzi Kati nimeingia town nikachukua guy mzigo
Nice techno spark k7 , nawaona tecno Sasa wamejirekebisha cuz mzigo upo vizuri kuanzia kiioo, camera vyote vipo clear
Wamejiongeza na kuweka...
Miongoni wa app yenye watumiaji wengi na iliyopakuliwa mara nyingi kwenye soko la Google play ni WhatsApp,mpaka sasa imepakuliwa zaidi ya mara bilioni 1½.
Kwa asilimia nyingi watu wana makundi...
Habari zenu wana JF.
Nipo hapa ,biashara zinaendekea unahitaji kitu chochote cha mtandaoni ,wewe order hapa:
_App
_website
_website to app
_unlimited data (tumia internet bila bundle kukata)...
Andika hesabu halafu scan na camera. Photomath itakupa jawabu pamoja na njia/method hadi kufikia hiyo jawabu. Download play store now. DESCRIPTION
Simply point your camera toward a math problem...
Kwa wenye ujuzi wanisaidie...laptop yangu ni HP natumia window 10...tatizo nikunganisha kwenye internet via simu au moderm hata kama sijatumia kusearch program kwenye mtandao data zinakwisha...
Habari za sahii, kama kuna yeyoyote anajua jinsi ya kutoa connect to itunes kwenye iphone 4s msaada tafadhali kwa software nyingine mballi na itunes au kwa njia nyingine...maana kwa itunes ina...
Ndugu naomba unielekeze ni nini cha kufanya ili hii CD/DVD yangu iwe Ina oparet kama mwanzo, angalau itumie upande wa USB tu, hii ni aina ya SINGSUNG; Upande wa power ipo inawaka na pale...
Wakuu habari zenu nina simu mpya aina ya itel 1408 nimenunua mwezi wa kwanza sasa tatizo La hii simu inaganda ganda nikitumia internet na meseji inaganda halafu inazimika japo mpya tatizo hili...
Kampuni ya Uber itaiuza biashara zake za SE Asia kwa kampuni ya GRAP ya Singapore, hii imekuja muda mfupi baada ya mwekezaji mkuu wa Uber kushauri kuwa Uber iachane na Asia na Africa na iweke...
Nimejaribu Mara kadhaa Ku exchange my account baada ya kusahau password, nilikuwa nataka niweke nyingine inagoma. So mwenye anafahahu anisaidie, kwenye Sm ya Tecno W4
Hawa TTCL tangu jana hadi sasa yani hatuwezi kuingiza vocha, Kwa style hii TTCL itaendelea kukosa wateja hata wataodiriki kujaribu huduma zao...SHAME, AIBU!!:(:(
UPDATE: Kwa sasa ninatumia...
Wakuu kuna video nyingi nzuri nawekewa na jamaa zangu kwenye facebook. Nataka nizidownload lakini sioni hiyo option. Naona tu option ya ku-share. Msaada jamani anayejua nafanyaje hapa.
Simu yangu ni galaxy t-mobile, but nnashindwa kuin stall baadhi ya apps km vile whatsapp plus na instagram. Nikitaka kuinstall inanambia there iz a problem in PACKAGE INSTALLER.
So cjui tatizo...
Naomba msaada namna navoweza control ads zisijitokeze ninapokuwa fb, insta na whatsap, mwanzoni hazikuwepo ila kuanzia Leo naona zimeanza kuongezeka na kuwa kero
Wakuu kuna simu zinapatikana Tigo shop Nokia 105 Dual simu ila zipo locked na Tigo tu kwa slot zote mbili sim one na sim two je Gharama za unlock ni bei gani??? Simu zinauzwa 45000, Je Bei ya...
Kama kichwa cha habari hapo nimepata tatizo la power supply unit ya cannon photocopy machine iliharibika/kufa kwa kuungua na umeme nmejaribu kwa mafundi imeshindikana kutengenezeka hvyo naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.