Takwimu za watumiaji wa mitandao ya kijamii ambao wanongoza kwa kuwa na fans wengi zaidi na kutizamwa zaidi kutoka tanzania katika mitandao ya kijamii yani FACEBOOK, TWITTER NA YOUTUBE... Fuatilia...
Wadau nina line ya voda niliyokuwa natumia hapo mwanzo kwa whatsapp na leo nimepata line nyingine yenye vifurushi vzr nikapenda nitumie hii mpya, sasa hofu yangu ni je nikibadili line na kutumia...
Nimehangaika kujiunga na Deezer lakini nimeshindwa sipati activation code nimejaribu kudownload spotify kwenye Iphone yangu lakini siwezi kudownload kwenye App store
Je nifanyaje au kuna njia...
Habarini Wakuu
Msaada Tafadhari Kwa Anayejua Ninapoweza Kupata Thermal Paste, Au Wabongo Wanaita Uji Wa Processor Kwa Dar Naomba Anisaidie Na Bei Kama Itawezekana Asanteni.
Msaada: Pageview nyingi kwenye blog, lakini kwenye adsense account pageview kidogo
Msaada: Pageview nyingi kwenye blog, lakini kwenye adsense account pageview kidogo
Habari zenu wakuu, kwa wataalam wa simu nina Simu Ya Samsung A5 inajizima inapopata ubaridi sana sana nyakati za usiku na ikashajizima inasumbua kuwaka yani nikiiwasha inaishia kwenye logo ya...
Habari zenu wakuu, naomba kujuulishwa web hosting company ya ukweli,mana nimecheki reviews za hostgator na godaddy pamoja na blue host zinatisha kweli kweli mpaka hujui uamini kipi. Mwenye...
Habari Wapendwa, Napenda kutoa App ya Bure ya Android kwaajili ya Blogger. Lakini pia nataka support yenu kwenye channel ya Tanzania Tech. Hivyo basi Kama kuna mtu anataka App please follow these...
Habari ya saa hizi wanajamii, naomba msaada software ninayoweza kuflash huawei model hiyo maana kwa hard reset inagoma na ukiwasha ina leta notification nyingi za kustop software karibia zote na...
Habari wakuu, naomba msaada jinsi ya ku hack hili game la extreme landing manake kuna lavel zingine cwezi kabisa kupita, nmepitia post kadhaa za wadau mbalimbali wakitoa maoni na kushauri app za...
Habari wana jamii natoa elimu kuhusu platform mbali mbali ambazo zinahusika na digital currency cryto currency kuuza kununua kuwekeza ktk digital currency example Bitcoin, Ripple, Etherium...
Salamu zangu kwenu ziwafikie
Tafadhali wana body naomba mwenye keys za kaspersky aniwezeahe maana computer yangu una virus ambao nikiwatoa kwa AVG hawatoki tafadhali.naomba kama nayo unisaisie...
Habari wakuu, baada ya vyuma kukaza nimeamua kurudi startimes lakini bahati mbaya nakuta card haipo tena. Naomba wajuzi mnijuze kama kuna uwezekano wa kupata card nyingine na gharama zake zipoje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.