Wakuu habari,
Kila nikifungua play store,Facebook, email,Browser nk,naandikiwa Maneno hayo.
Nimesha restore sim Mara kadhaa lakini tatzo bado lipo pale pale.
Msaada wakuu.
Wadau heshima kwenu...
Nimejaribu ku-google hizi drivers za PDF ila sijafanikiwa kuzipata. Mwenye nazo naomba msaada anipatie ili niweze kufanya conversion ya MS word to PDF.
Nitashukuru kwa...
Nakosa raha kabisa nitumiapo internet ya halotel.
Internet inakata kila baada ya sekunde 3, inanilazimu kuzima na kuwasha data kila mara. Yaani baadala ya kufaidi, nimekuwa mtumwa wa kuzima na...
Watumiaji wa instagram naomba mnielekeze jinsi ya kuweka emoji kwenye post au comment za instagram kama vile emoji za moto nk kwakuwa navutiwa sana na zile emoji wanazowekaga watu! Sasa sijui zile...
Jaman ntafuta mtaalam anayeweza kutengeneza app ambayo itaweza kufanya kaz kwenye ios na adroid kwa aliye na ujuzi huo tafadhali anitafute kwenye no 0685000606 kwa whatapp
Habari zenu wanajukwaa!Kama kichwa cha uzi kinavyosema,nina miliki smart phone kwa mwaka sasa
Ila sasa nashangaa siku hizi nikitaka kupiga picha picha haitoki poa yaani inakua imeblur sana kama ni...
Naombeni msaada wenu wana JF katika hili Nina miliki simu hii kwa mwaka mmoja sasa,ila shida hii imeanza kama mwezi mmoja hivi uliopita.Yan sipati picha angavu nikitumia simu hii yan ukipiga picha...
Laptop yangu ina tatizo kwenye display, sijajua nini hasa kimesabisha maana jamaa yangu niliyempa anadai kuna kitu chenye ncha kiligonga display. Mwanzo nilihisi ni crack kutokana na alivyodai...
Za mda huu wanajopo.
Naomba msaada wenu kwanza nijue tofauti ya computer -science
-IT
-ICT
Na pia nijue ktk hizo ni kozi gari ni bora na itaniwezesha kucheza vyema na mitandao kisha naomba...
HABARINI NDUGU ZANGU?
Napenda kujua bei za mashine imara za nywele!! Niko katika harakati za kuanzisha HAIR CUTTING SALON!
Tafadhali mwenye kujua aina ipi na bei yake inafaa!!
Habari wana JF, Ni siku nyingine tena tunaungana pamoja kwenye kujifunza hatua nyingine za kutumia teknolojia mbalimbali. Kwa siku ya leo tutaenda kujifunza jinsi ya kuongeza likes na followers...
Wakuu naombeni msaada, nahitaji Webhosting Provider (Bluehost, DreamHost, HostGator etc), anayetoa huduma ya ku host hizi websites zetu za kitanzania pasipo usumbufu.
Yaani Hosting Provider wa...
Nadhani wengi wetu tunaotumia internet sio wageni kukutana na maada za "make money online" (tengeneza pesa online)... Kwa Mara ya kwanza nilikuwa sitilii maanani kabisa na nikadhani ni kitu kigumu...
Waungwana napenda kuwasihi au kuwataariu kwa wale wateja wa Halotel msije jaribu kununua bundle la night pack kabisa maana hilo bundle ni hewa na ukija jaribu kukinunua usije ukaja kutulilia humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.