Habari wana JF, Najua hili ni swali la watu wengi sana, lakini ningependa, kujua ni simu gani bora kwako kati ya simu za Tecno, Huawei au simu za iTel. Ningependa kujua kwa kuchagua hapo juu, pia...
Wakuu.
Nili-reset simu yangu bila ku-save Documents zangu muhimu, na Kama ilivyo kawaida ya ku -reset kila kitu kinafutika, nami ndo hivyo kila kitu kimefutika.
Baada ya kufuatilia nimeambiwa...
wadau naomba msaada wa kufahamu hili,je! ninaweza kutumia mfano namba yangu ya laini ya tigo ambayo ninaitumia kwenye WhatsApp na namba hiyohiyo niweze kuitumia kwenye WhatsApp kwa simu yangu...
Nina elim ya form six napenda nisome Diploma ya ( Network&hardware au Network security au Multimedia) naomba mnishauri ipi kozi mzuri zaid kat ya hizo na vyuo ambavo naeza kusoma.
Nina elim ya form six napenda nisome Diploma ya ( Network&hardware au Network security au Multimedia) naomba mnishauri ipi kozi mzuri zaid kat ya hizo na vyuo ambavo naeza kusoma.
Hi everyone, I'm new here and quite interested in your smartphone homescreen. I'm gadget geek from Japan and eager to reserach everyday use of smartphone in East Africa.
As a part of personal...
Habari wakuu.
Naomba kufahamishwa lile group la wataalamu wa Excell waliokuwa wanatoa huduma Kwa njia ya telegram. Walinisaidia sana kipindi kigumu cha kupanga matokeo ya watoto, kuanzia grades...
Nchini Uingereza taarifa imetolewa kuwa majivu ya mwanafizikia Stephene Hawking yatahifadhiwa katika eneo la Kanisa na jumba la makumbusho Westminster Abbey mjini London karibu kabisa na mabaki ya...
Nipo kwenye shida ya umeme nimejaribu kutumia sola lakn inahitaj gharama kubwa oz jua sio la uhakika has a kipindi huku cha mvua.
Nikawa nawaza kutengeneza umeme wa bure.
Namaanisha ninunue DC...
Wakuu nina Lg yangu ya 3D,inahitaji zile miwani za 3D ili niweze kuburudika kuiona EPL na UCL kwenye 3D.
Ninaweza kupata wapi zile miwani kwa kununua?Na je zinauzwa bei gani?Msaada tafadhali
Habari zenu humu mimi beginner kwenye field hii ya software engineering ninaomba msaada kwa wale senior/experienced software developers..
Ninapata taabu sana kwenye swala zima la ku-initiate...
Habari za majukumu wakuu mimi nataka tu share mawazo juu ya jutengeneza game development kwa hapa bongo najua wenye uwezo juu ya hayo mambo kuhusu game wapo wengi tu tatizo hawataki kushare mawazo...
Telegram imepoteza kesi yake mahakamu kuu ya Urusi na imeambiwa itoe encryption key/funguo za msg zake kwa vyomba vya usalama vya Urusi, sivyo itafungiwa nchini humo.
Funguo hizo zitaruhusu...
Wadau Amani Ya Bwana Iwe Nanyi!
Nahitaji Kufanya Biashara Ya Kuonyesha Mpira, Naomba Msaada Kati Ya Projector Na Tv,
Nahitaji Kuanzia Na Screen Mbili, Au Screen Moja Na Projector Moja, Naomba...
VODA WAMEANZA KUGAWA LINE ZA 4G LTE
Wanabodi Jana nilienda kuswap line yangu ya voda, baada ya kupewa line mpya nikaitia mfukoni maana nilikuwa na majukumu mengi.
Nilipo pata mda ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.