Habari wana JF, Laptop yangu ya apple late 13 inasumbua. niki switch on inafunguka hadi mwisho lakini mouse na keyboard vyote havifanyi kazi, na ikiwaka ile pointer inakwenda kona ya juu ya sreen...
Kuna compyuta mpakato ya mwanangu imeanza kuwa na tatizo la screen au monitor yake baada kuwasha hai display kitu chochote ila inapita mistarimistari tu mpaka uikunje katika engo fulani ndio ina...
Habarini, nilikuwa natumia internet ya simu kwa njia ya USB kwenda kwenye pc sasa kama wiki moja hivi ile option kwenye simu imepotea.
Hapa nlipo nna modem mbili za huawei ya tigo na zain za...
Heshima kwenu wanaJF, nahitaji msaada wenu wakiteknohama juu ya kudesign blog ya kitaalamu na ya kijamii na ushauri wa mtandao uliobora zaidi kutumia. Naomben msaada wakuu!
Habari za kazi, poleni na majukumu.
Nahitaji msaada wa hali na mali katika blog yangu, nahitaji nikiupload wimbo kuwe na direct button ya kudownload wimbo ..msaada tafadhali, vilevile somo...
Anaejua link ya kudownloadia flash files (Firmware) za Samsung kwa ajili ya region yetu anisaidie
Au nitumie file la nchi gani ambalo litakua compatible na Tanzania sababu Tanzania haipo kwenye list
1.Namba msaada kwa mtaalamu yeyote humu ndani,
2. Msaada kujua faida na changamoto za UKURASA au page ya kwenye FB.
Kuna Malipo..
Na yanalipwaje??
Asante.
Kwa wale mnaopenda kujuifunza jinsi ya kuhack Hii series Inaitwa GHOST Itakusaidia kujifunza kitu
Download na kucheki online kupitia hapa http://kissasian.ch/Drama/Ghost/Episode-1?id=2076
Wadau naomba msaada nn hasa cha kununua kati ya hizi bidhaa mbili za samsung!
Kuzingatia hasa...
*Hardware :-storage,ram,processor,case,size,muonekano
Na pia naomba kujua gharama ya NOTE 5...
Nina Techno spark k9, ime pata tatizo la touch kuna mda touch inafanya kazi na kuna mda ina stuck cjajua nin sababu ya tatizo hilo na haijaanguka wala kuingia maji.
=> Msaada kwa anaejua kutatua...
Naomba kujua device ipi ya xiaomi yenye 32gb internal na 3gb ram inayo anzia kwenye laki 2 na nusu mpaka 3 na nusu pia iwe na kamera quality na battery inayokaa na charge
Habari wakuu, ninatumia printer aina ya Epson LL382 imekwama gafla kufanya kazi , wanadai niweke code ili ifanye kazi upya..naomba mwenye kujua namna ya kupata hizo code anisaidie wadau . Nawasilisha
Wasalaam, natafuta Wi-Fi router ya 4G ila iwe inaweza kutumika kwa line ya mtandao wowote kwa sababu nitahitaji kuitumia nikiwa maeneo tofauti tofauti ya Tz hivyo kulazimika kubadili line mara kwa...
Duka lipi kwa hapa Dar naweza kupata vifaa vya microcontrollers kwa bei nafuu.
Nilikuwa nahitaji Arduino uno, pic16877A, bluetooth module, dc motors na n.k...
Laini yangu ya halotel haipandishi mnara kwenye setting inasomeka lakini imeweka emergency call only nikitaka kuangalia salio inaandika cellular network not available tatizo nini wadau na nifanyeje
Wengi tunafahamu kuwa samsung ni kampuni bora ya simu duniani kwa kutengeneza simu nzur na za kisasa mbali na hilo kuna baadhi ya matoleo ya samsung kam j7 prime j5 prime na galaxy prime plus ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.