Wale wapenzi wa gb whatssap tukutane hapa ,kiukweli gb whatssap ina madiko diko mengi haswa mazuri, lakini wengi tunatumia gb whatssap bandia, muda mwingi ukienda kwenye application ina crush mara...
wadau natumia window 10 kwenye pc ya hp... tatizo ninalokumbana nalo ni kwamba kuna muda nikiwa naplay audio ghafla sauti inakata, nikirestart pc saut inarud au inaweza kaa kidogo hata...
Salaam wanajf .
Naomba msaada kwa tatizo hili:
PC aina Acer aspire ES-512 ilizimika baada ya umeme kukatika.
Umeme uliporudi nimeichaji lakini imekataa kuwaka kwa kutumia power on switch.
Je kuna...
habari wadau
nime pakua app ya whatssap kwe computer dell lkn sijaweza kuitumia kwamaana sija weza kuweka hata namba ya simu yakuweza kuiunganisha nisaidieni jamani
Technologia inakuwa sana, na katika hilo kunakuwepo na faida na hasara kwenye jamii zetu. Bara la Africa limepokea kwa kasi sana matumizi ya simu za mikononi na katika kuchangamkia fursa hiyo...
Answer:
No,
because government surveillance (tracking your phone location and tapping your calls, messages and internet traffic) is done at cellular network level, not on your phone.
If you...
Kampuni ya Nokia imetangaza kuwa imeunda simu ya Android ambayo ndiyo imara zaidi kiasi kwamba haiwezi kuvunjwa kwa mkono.
Kampuni hiyo pia imeanza kuuza simu nyingine yenye sehemu ya kuteleza...
Wakuu habari ya jioni,
Naombeni wataalam wa computer mnisaidie, computer yangu imegoma kabisa kupost chochote facebook, niki log in kwenye account yoyote fb inanipa uwanja wa kupost status, lakini...
kama kichwa cha habari hapo juu,ni hivi nimenunua doamin name kutoka Godaddy,sasa kashehe inakuja jinsi ya kuibadilisha jina la awali la blog yangu ili niweke hili jina jipya lenye .com.
ieleweke...
Sifa za printer ni kama ifuatavyo,
1.inaprint color
2.inasuport network wireless na wired
3.inasupport USB flash
4.inauwezo wa kuprint pande zote mbili(inageuza karatasi)
5.Mpaka sasa imeprint...
Wadau habari! Nafikiria kuanzisha radio ambayo itapatikana kwenye king'amuzi, mwenye utaalumu naomba tushare pamoja ikiwa ni pamoja gharama ya vifaa na kuisajili?
Habari wana jf mimi nina gari lenye automatic gearbox gari hili limeninyima raha kwani ninapotembea huishia gia no 4 na si zaidi ya hapo hata kama nikikanyanga mafuta halibadiliki zaidi ya mshale...
Habari wakuu... hili jambo nataka kujua kisayansi limekaaje, ipo hivi katika Magari yanayobeba Mafuta kama Kerosene (IK) katika lile Tank juu kuna mifuniko miwili mmoja mkubwa na wa pili mdogo...
Habari za jioni wapenzi wa teknolojia, Najua wengi wenu mnajua kuwa samsung Galaxy S9 tayari imesha toka na kama bado hujajua sifa za simu hizo unaweza kutembelea ukurasa wa Tanzania Tech kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.