Habari wakuu,
Nimekuwa nikitafuta flat screen TV ya led 42 inch kwa muda mrefu ila kwa hapa bongo naona kama bei ni kubwa sana japo zinatofautiana kwa bei kwa kila brand name. Ila nimeangalia...
Ilikuwa 2G,3G,4G na sasa dunia inajiandaa kupokea intaneti yenye kasi ya mwanga itakayobadilisha kabisa maisha ya binadamu.Intaneti hiyo inatazamiwa kuja kutumika kuendesha magari yasiyo na...
Nina router inayotumia line ya kampuni fulani. Lakini hivi karibuni wamekuwa kama matapeli Fulani hivi, ukinunua MB zinaisha fasta wakati MB kama hizo kwa line zingine unaweza kutumia hadi siku...
Natafuta MTU wa IT maeneo ya Mbezi ya Kimara Kwa Ajili ya kuniwekea programs kwenye PC yangu hasa Microsoft offices.
Anayemfaham au kama ni wewe weka no yako nikutafute.
Mambo vipi wakuuu, naomba msaada nataka ni-update simu yangu ya Nokia Lumia 520 kutoka windows 8.1 to windows 10, nimejaribu kuangalia kwenye orodha ya simu za windows ambazo zinatakiwa kuwa...
Kichwa cha habari kinajieleza.....
Nahitaji laptop ambayo ipo katika hali nzuri kwa ajili ya matumizi yangu binafsi.
Mwenye nayo aje hapa tukubaliane na mwenye uzoefu wa hizo pia anifahamishe...
Nimejaribu kufuata taratibu za ku root simu kwa kudownload app ya kingoroot kweny pc. Ilipofika hatua ya kuiconect na pc haiconect sasa sijui nakosea wapi? Msaada tafadhali
Naomba kujulishwa application ya ku - download picha na video za instagram (but nataka iwe moja tu means sitaki kuwa na instagram apk na hii ya kusevu) nataka ifanye kazi mbili ,kama ista na kama...
Jamani mimi niliangusha simu ya smart phone iliniuma sana na sasa nimenunua nyingine ya tecno w5 naomba msaada jinsi ya kuilinda ikiibiwa I niletee ripoti mahali ilipo
Wanajamvi ili neno nimekuwa nikiliona WhatsApp pia uwa linanipa jeuri kuwa pengine kuchati, kupiga simu na video call, kwa WhatsApp sio rahisi kuwa traced kama wanavyofanya katika normal text...
Ndugu wana jamvi natumaini wote ni wazima Wa afya, niende moja kwa moja kwenye ombi/msaada nina shida ya circuit ya XRF detector ya kudetect madini tofauti tofauti kama kuna mtu anaweza nisaidia...
Waungwana wa technology, kuna uwezekano wa data kuwa on wakati mitandao ikiwa off? Naamanisha unapokuwa unatumia JF, Watsupp, face book na mengineyo off mpaka uikomandi kuwa on, sio hivi ukiwasha...
Amani iwe pamoja nanyi wakuu.
Nahitaji samsung S5 kwa shng laki 300, yenye specs zifuatazo
Ram : 2 gb
chipset : snapdragon
internal : 32gb
Pia ,iwe kwenye hali nzuri close to new one.
Heshima kwenu wanajamvi. Nimekua nikipakua Apps za androids na nyingi ili zifanyekazi zimekua zinaomba access ya vitu kama contacts, calls log history, pictures, videos, messeges, etc. Maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.