Jaman habari za mida, kwa wale wataalam wanao jua mambo ya browse naomba kujua ivi nikweli au inawezekana mtu akafanya mambo yake mtandaoni paspo kua na bando? Nakama inawezekana unaunganishaje...
Nimekuwa natumia mara nyingi hii PC tangu 2015 ila miezi michache iliyopita ilianza kuonesha mstari katikati ya Kioo, Mstari huu unafanya nishindwe kutazama video au kutumia baadhi ya Programu...
Wadau mnaotumia hii app ya kuangalia movies ya terrarium TV, ninaomba kuuliza ni option gani ambazo hazitumii bando sana na mfano ukifungua movie unakutana na HD-publifilm(streamango) 393 mb...
Wanasayansi na wataalamu mliosomea masuala haya..naombeni mwenye utaalamu wa kutengeneza app za simu anifundishe au anitengenezee app ya simu ambayo nitaweza kuweka simulizi...
Habari Wakuu!!!
Kwa wale wapenzi wa PC Games, nina Call Of Duty 4 Modern Warfare naitoa bure bila malipo yoyote japo sikukatazi ukinipa hata ela ya vocha.
-Nitakuwa nazitoa hizi Game kwa WanaJF...
Jamaa wanajukwaa mwenye ujuzi wowote au experience ya jinsi ya kuifanya Vodafone smart 4 min 785 iweze kutumia line zote yaani isichague line naomba anifahimshe sina mpango wa kubadili simu ila...
Husika na kichwa cha habari hapo juu wakuu nilitaka kujua je?
Ninaweza kufanyia editing sauti kwa kutumia simu yangu natuma iPhone kuna vipande nataka kuviondoa kwenye hiyo oudio.
Habari za muda huu, naitaji msaada kwa anayefahamu jinsi ya kutoa rar pasword, nilidownload mtk file kwa aili ya ku flash simu lakn imekuja na password, Msaada tafadhali..
Kwa wanozifahamu Xiaomi ni simu za China (wanaziita Chinese apple) mi nina "Xiaomi mi 5c" lakini tangu imefika hapa Tz imekataa kukamata 3g au 4g, msaada plz wa kufix hii mambo
Naomba msaada app ya android yenye kuweza kufanya convesion ya pdf kwenda word, nimejaribu kutafuta play store lkn zote hizo hazikunisaidia, natanguliza shukrani
Habari..Ningependa kuwakaribisha beatmakers ile tuweze kupeana maujuz na kujadili vitu mbalimbali vinavyohusiana na utengenezaji wa beats (instrumentals)....
#pia nikuunge kwnye group la whatsap...
Habari wajukwaa nawengine kwa ujumla.Naomba kwa yeyote yule ambaye anauza simu tajwa hapo juu ikiwa mpya kabisa aniuzie .Hapa nazungumzia simu ambayo iko kwenye box kabisa nahaijatumika ata...
Aisee wakuu tangu nimeanza kufanyakazi za blog pesa ninayoipata ni ya kunywea chai tu Mara ya kwanza blog yangu ilikua kwa lugha ya kiswahili nikaona hailipi nikaanza kupost ngeli lakini hawa...
Katika tembea tembea yangu porini maeneo ya Mkoa wa Tabora nimekuta mlima mwepe wenye mawe meupe kama chokaa. Nimevunja mawe hayo lakini siyo magumu sana nimeyasaga yametoa unga mwepe kama...
Nina tumia azam ila naona usumbufu kibao. Naomb mnisaidie namna ya kuiset hii star x x2 plus. Hasa nitumie satellite IPI na frequency ngp, najua wataalam mnajua. Karibuni.
DOOGEE BL12000 ni chinese product nyenye android ya 7.0,
ina RAM ya 4GB,
internal storage ya 32GB,
camera yenye 16MP,
procesor ya MTK6750T octa core
na kikubwa kabisa ina betri ya...
Nina simu yangu Huawei Ascend Y530 ina 4gb internal storage capacity ila inaonesha kwamba no enough storage masaa yote....nimerestore mara nyingi tu lkn baada ya cku mbili inaonesha no enough...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.