Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za leo Kwanza napenda kutoa shukrani kwa wale walionisaidia kimawazo asa pale nilipouliza kuhusu Adsense,kupitia kuuliza kwangu kuhusu Adsense nikajua kuna vitu kama Propeller ads na...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Youtube wametangaza masharti mapya, ili uweze kutengeneza hela na video za YouTube (monetize) inabidi uwe na Subscribers si chini ya 1,000 na watch hours 4,000 katika siku 365 zilizopita Kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwenye ufaham kuhusu android ttv tunner receiver for smart phones pamoja na upatikanaji wake kwa hapa tz na jinsi inavyofanya kazi
0 Reactions
0 Replies
934 Views
jamani ndugu zangu wa jukwaa hili habarini, kwa wale ambao wamekuwa wadau wakubwa wa masuala ya Blogging watakubaliana na mimi kwamba ili upate pesa licha ya jitihada zote utazofanya mwisho wa...
5 Reactions
155 Replies
17K Views
Waakuu habarini home natumia evd player au DVD player portable kwa jina jepesi sasa yangu hii machine aisapot mp4 nikidownlod video ya nyimbo au muvi kwenye showbox labda ni lazima niipeleke...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nimepokea ujumbe kutoka Voda kuwa wataanza kukusanya alama za vidole kuboresha SIM card registration. Hili sijui linatoka kwa Voda au serikalini? Edit Kang: Post hii imekuwa edited na mods...
2 Reactions
70 Replies
10K Views
Nimefungiwa kutumia Instagram,nahisi mtu amenihack kila nikiingiza log in details zangu,inaniambia hivi "We Detected An Unusual Login Attempt" maprofile yote mawili nifanyaje wakuu? thanks
0 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Youtube 2. Instagram 3. Wassap (groups) 4. Software auto updates Ongezea nyingine tujue namna ya kupambana na MB 8!
12 Reactions
124 Replies
9K Views
Habari wakuu? Nina simu aina ya Vodafone VDF 301. ambayo inatumia laini mbili moja lazima iwe ya vodacom Tatzo lipo kwenye kutumia data (internet) imekuwa guided kwa lain one tu ( ambayo ni ya...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari, Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4 na kuendelea.. kwa sasa ni final version kwa upande wangu. Ila nitapenda mawazo zaidi kutoka kwenu. Kwa...
10 Reactions
196 Replies
21K Views
Habari za mida hii wana jukwaa! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nahitaji msaada wa laptop yangu baadhi ya key hazifanyi kazi. Ninalotaka kujua ni kuwa kuna uwezekano wa kutengeneza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Changamoto yenyewe ni kuibiwa simu, nilinunua simu Aliexpress (malipo ya Credit card) na pia mtandao wa Banggood.com (kwa malipo ya Paypal) nimeibiwa simu mbili (Theft in Transit) watu...
7 Reactions
112 Replies
19K Views
Wakuu kama wewe unauza CPU au desktop all in one tupia hapa update wateja. Mimi nataka hpslimline450 3.3ghz 4gb ram na 500gb hdd
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Hellow Everyone! Hivi kati ya simu hizo mbili ipi ni bora zaidi??
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Natumia tecno y3,tatizo kubwa lain 2 imegoma kusoma sasa sijui tatzo.
0 Reactions
2 Replies
612 Views
Wale watumiaji wa macbook pro nifahamisheni jinsi ya kuweka windows kwenye mac ili iwe ina run system mbili yaan OSx na windows.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
je kuna umuhimu wowote wa hawa watengenezaji wa laptop kuweka touch screen kwenye laptop hizo. au ni poor design ambayo hawaifikirii ? je wao wanajali soko tu na sio design nzuri pia. kwa mtazamo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Angalia nyingine hapa
2 Reactions
14 Replies
15K Views
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya ku-unlock 4g franklin ya smile aje hapa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please naomba kuelekezwa namna ya ku-copy video iliyopostiwa Instagram bila ku-copy link yote
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Back
Top Bottom