Nimekuwa nikitumia bundle za halotel. Nashangaa kila nikifanya hotspot tethering kwa PC yangu, bundle la 700MB, halichukui hata dakika 10, chali. Nisipofanya tethering na kuamua kutumia bundle kwa...
Wadau naomba msaada,kuna jamaa yangu nimejaribu kumuingizia Facebook lite kwenye simu yake lakini imegoma,nimetumia njia zote kuanzia play store na kwa njia ya apk ambako inaleta ujumbe app not...
Mambo vip Wanandugu????
kwa wale wapenzi wa game la dream league soccer leo nina Trick yao moja hatari sana.
Leo nitawaonyesha Jinsi ya kubadili muonekano wa uwanja wako na ukaweka Uwanja wa...
Wadau kama tunavyojua kuna aina nyingi za "Browser",watu wengi wamezoea kutumia Firefox,chrome,opera,safari nk
Je umeshawahi kusikia browser inayoitwa TOR,je unajua hii browser inafanya nini??Hii...
habari wana jf, kichwa cha habari kinahusika nina Idea ya project nataka nifanye sasa ili hiyo project ikamilike inatakiwa nimpate mtu wa Programming so kama unajihisi uko vema kwenye programming...
Habari Ndugu zangu.kama Kichwa kinavyojieleza naihitaji kujua mashine Nzuri itakayotoa photocopy na kuprint ambayo itafaa kwa matumizi ya nyumbani. Nina HP 1515 series Ila matumizi ya catrage...
Napenda kuuliza wana JF kabla sijanunua iPhone ambao mmezitumia kiustadi ,je hazichemki ukiwa kwwnye matumizi nayo ata kama kwa mda mrefu ,coz kitu kuchemka kwa simu huwa sipendi .
Kwa...
Hello guys..
Naombeni wataalamu wanionyeshe jinsi yakupima mashamba kwa kutumia Google Map kisha nipate picha kama hii inayo onekana hapa kwa ajili ya kuprint kisha nitoe copy nisave kwenye...
Wadau kwa anayejua bei ya hiyo simu tajwa kwa Dar dukani nauzwaje anisaidie maana mara ya kwanza kuna jamaa aliniambia 320,000/= lakini leo kuna mtu kanambia ni 220,000/= msaada kwa anayejua...
Habari wadau, nimefanikiwa kununua visa card ya BancABC na kuiwekea balance pamoja na kufungua account ya paypal ready for online banking.
Baada ya hapo nikalink card yangu na paypal pamoja na...
Build Responsive Real World Websites with HTML5 and CSS 3
Cost: Tsh 150,000.
Delivery
Mode:
11.5 hours on-demand video
11 Articles
7 Supplemental Resources
Full lifetime access
What Will I...
Habarini wakuu nina simu yangu Samsung S5 nilinunua November 2016 juzi ilidondoka kioo kikavuja kikawa hakionyeshi ila touch inafanya kazi nikipigiwa napokea fresh ila kioo ni giza mwenye Idea pls...
Natumia laptop aina ya lenovo E51 series core i5 ambayo ni mpya kwani tokea niinunue ina mwaka mmoja tu na inatumia window 10.Mimi siyo IT ila huwa napenda kupokea updates zote pamoja na upgrades...
Hiki kitu nilikuwa sijakifahamu, Baada ya juzi kati natengeneza campaigns kwe admobs za app zangu nakuta total reach ya wa TZ wenye uwezo wa kudownload app ni only 1.3M,,,!! hapo sijatoa wale...
Ndugu wakuu
Heshima zenu, natumai mko poa sana
Nina shida sana na baadhi ya soft copies ya vitabu vya inspirational , naombeni kunijuza application ninayoweza kutumia na kuvipakua bila shida...
Habari Wadau Wa JF,
Naomba kuuliza ni kitu gani nizingatie kabla sijanunua Laptop?
Ninapenda Sana Laptop za HP.
Naomba muongozo wadau.
Natanguliza Shukrani.
Kwa wale wateng'eneza LOGO wasio na pc,nenda playstore pakua app iotwayo Logopit Plus
Kisha ifungue baada ya hpo anza kudisgn
Saaasa hapo kuna vitu vyiingi saana vya kujifunza kam rang...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.