Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naulizia kuhusu simu aina ya Nile X kama imeshafika Tanzania? Au itafika lini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yona Fares Maro The ICT Pub SOMO KUHUSU PROGRAMU/SOFTWARE BANDIA Kumekuwa na ulanguzi wa programu/software haswa za kompyuta zinazofanywa na watu mbalimbali haswa kwenye nchi ambazo hazina...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wote!!, Kama mdau mahiri wa JF naomba msaada wa application ya simu ambayo itanisaidia kutoa maandishi kwenye web na kuyaconvert kwenye PDF format. Natanguliza shukrani by muhakikiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nenda playstore pakua app iitwayo sketchware hii hpa Kisha ifungue na an a kwa kuandika jina LA app uitakayo kuiunda mfano ##psite shio### hilo jina LA app Ingia anza kazi hpa sasa Sasa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwenye ujuzi tafadhali namna ya kupata vitabu vya hadithi vya Erick Shigongo kwenye muundo wa softcopy (PDF} anijuze. Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Rejea kichwa cha habari.. (Samsung Galaxy Grand Prime)...Simu yangu imeanza tatzo la kuonyesha alama ya EARPHONE juu..ambayo inapelekea mtu nikimpigia siwezi kumsikia mpaka niweke Loudspeaker...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kutokana na kuwa thread nyingi zimekuwa zikifunguliwa na nyingi zikizungumzia yaleyale, nimeonelea kuziunganisha ili kupata thread moja yenye kila kitu kuhusu simu za tecno wakuu naomba msaada...
2 Reactions
620 Replies
67K Views
Naomba kujua tatizo la simu yangu. Huawei Y 530. Inanigomea kuwaka. Na kila ninapoiwasha kuna maelezo inaniletea. Naamini hapa jukwaani kuna wataalamu au wabobez wa teknolojia waliowahi kukutana...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Wadau nimekua nikifanya utafiti ili kufahamu applications bora kabisa za kiswahili zilizotengenezwa Tanzania ama na watanzania lakini sijapata nyingi zaidi ya Jamii Forum Millard Ayo na Pamoja...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
PITIENI https://newvijana.blogspot.com/muone editting sijasomea web design nimejaribu kudisign..wapii nimekosea na wapi nirekebishe msaada wenu hiii site natarajia inipatie pesa,,,,ukiiitaji hii...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
BIOS, OS na hardware ni vitu muhimu vinavyotakiwa kuwa viko sawa ili kompyuta iwake bila matatizo. Kujua mfumo huu kwa undani ni muhimu kwa mtu yeyote anaeteka kujua tatizo(troublesooting)...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJf najitokeza kwenu nikiwa na ombi la kukutana na watalaam wa software,na mambo ya kimtandao ambayo sina utalaam nayo Lengo langu nataka kuanzisha mtandao au website flani hivi...
0 Reactions
3 Replies
709 Views
Describe Google and Amazon’s new information technology infrastructure. What is the relationship between this new infrastructure and the global, Web-based platform? Explain why IT is a business...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Naomba Msaada kutoka kwa gamers jinsi ya kupatch pes 2017 version ya CPY kupata graphics,new faces and real team names za pes 2018. 10% percent itahusika kwa atakaenielekeza nikafanikiwa.
0 Reactions
0 Replies
706 Views
With the rising vice of hacking in our society, it is important to know about some clear signs that can help you discern if your phone has been tampered with in any way. These are 4 clear signs...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa jamaa ni noma Wamekuja na Servo j7 kimuonekano ipo kama samsung galaxy j7 Specification Details Unlock Phones Yes Google Play Yes Band Mode 2SIM/Dual-Bands Cellular GSM/WCDMA Release Date...
2 Reactions
78 Replies
48K Views
Habari wakuu, rafiki yangu anauza hii WiFi Router kwa laki mbili (TZS 200,000) kwa yoyote atakayekuwa na nia wasiliana nami. Iko sim unlocked na ina admin web filtering na feature nyingine nyingi tu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, rafiki yangu anauza hii Desktop PC (CPU+Monitor+Keyboard+Mouse+Cables) kwa laki sita (TZS 600,000) kwa yoyote atakayekuwa na nia wasiliana nami. Ina Movies, Series na Software za...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Kwa yeyote anayejua apps za game za mpira katika simu za Android msaada tafadhal
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom