Poleni na kazi WanaJF,
Napenda kufahamu ni kampuni gani ambayo ilitengeneza application au site ya JamiiForums kuanzia interface, design, mwonekano hadi kila kitu? Maana kwa kweli nadhani...
Heshima kwenu wakuu,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha mada kinavyosema nahitaji maoni yenu kuhusu website yetu ya Mjasiriamali Desk pamoja na pre-release mobile app ya site amabayo unaweza...
ili mwagikiwa na maji, keypad zifuatazo hazifanyi kazi ( T, Y, DELETE, TAB, RIGHT SHIFT, START , F3, F8), zingine zotee zinafanya kazi vizuri.
Naishi Dar es salaam.
Nahitaji fundi mwaminifu...
Nile X ni simu ya kwanza kuzinduliwa hapa Afrika(Misri).Baadhi ya Specifications zake ni
Kioo cha inch 5.7",RAM GB 4 na ROM GB 64,Uwezo wa simu ni 3g/4g.itaanza kupatikana hapa Afrika...
Habari zenu ndugu wa jf, naombeni msaada kwa mtu ambaye anajua jinsi ya kufungua bot ya kutumia kuwasajili member kwenye app ya telegram. Asante kwa msaada wako
Ni LG G2 FLEX, haiwaki...ikiwaka baada ya kuonesha ile logo ya LG inaendelea kwa kuandingika inaanzisha Android....baada ya hapo inaanza tena huo mchezo...mafundi nisaidieni.
Jee kuna tofauti gani kati ya iphone 8 na 8 plus.yaani kuna vitu ambavyo waweza pata kwa 8 plus na 8 ikawa havipatikani.na mwisho kimatumizi ipi ni nzuri kati ya 8 na 8 plus.nawasilisha
Wakuu habari za leo.Naomba msaada wa kueleweshwa jinsi ya ku-update Tecno yangu kila mara inasema up date memory card.Kumbuka memory card bado ina nafasi ya kutosha.
Simu yangu aina ya Huawei Y300 nikiiwasha Inastart na inashindwa kufunguka baada ya kuandika "Huawei"
He tatizo ni ni software au service life take imekwisha ?
Nikii-flash itarudi/kufunguka kama...
Kama thread inavyojieleza wakuu, unahisi ni kampuni gani kati ya hizo mbili wanatengeneza games zenye graphics za hatari na za ukweli kumshinda mwenzake. As for me, kiukweli EA games nawakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.