Digitek wameorodhesha baadhi ya Channels walizo nazo kwenye package yao. Ile ESPN wameiondoa ktk list hii. Je hapa pana jipya? Ndiyo wana jipya,sasa proved wana chnls nyingi za bure. Chnls 22...
Wakuu nawezaje kupata clipboard kwenye sim yangu tecno spark K9 maana kila nikisevu message inanijulisha kuwa served on clipboard lakin nashindwa kuiacces Masada tafadhali
Wakuu
Nataka nijifinze u hacker so nianze na vitu gani ili nielewe ku hack kwa urahisi or program gani lazima nizifahamu kuhusu ili niwe hacker
Dhununi la kujifunza ni kuongeza maarifa tu...
Wadau naomba kujuzwa iwapo kuna technical benefits zinazotokana na. Simcard iliyokatwa, binafsi sipendelei chip hiizo ila naona sasa simu nyingi za sasa haziingizi simcard isiyokatwa
Habari wana jukwaa.
Nikiwasha laptop yangu kuna hii message inakuja, na hata nikibofya OK bado inarudi hadi ufanye hivyo angalau mara 10.
Msaada jinsi ya kuiondoa tafadhali.
Tatizo lilianza siku...
Lenovo ambao ni watengenezaji namba moja wa komputer duniani, ambao pia wameinunua kampuni ya motorola mapema mwaka huu wametoa kifaa smartphone mpya Lenovo K920 (Lenovo Vibe Z2 Pro) ambayo ni...
wakuu nimepata simu ya kichina ya xiaomi 5s plus nimeweza kubadilisha lugha kwa general lkn nikiingia kwenye web zinaleta maandishi ya kichina tupu.
Nimejaribu pia kudownload app ya JF katika app...
Looking for your mobile phone can be a frustrating experience. Sometimes it’s simply tucked in some place, out of your sight. Yet it is also possible to lose your phone away from home or have it...
Hakuna msemo mwingine zaidi ya "Tumekwisha" kwa sisi tunaotumia line za chuo za halotel, kwa maana hiyo nawaaga rasmi kuwa sitakuwa nanyi leo na hata milele.
Tulizoea unajiunga cha 10,000 kwa...
Salaam sana Rafiki zangu
Kama kichwa kinavojieleza, ni kuwa nimepoteza simu yangu na ilikua ni msaada mkubwa sana kwangu
Nifanyeje niweze kuipata, IMEI ninayo
msaada tafadhali mwenzenu sina hali
Wakuu habari
Ebana kuna hii ishu inaniumiza sana kichwa.
Yor pc ran into a problem kisha screen inakuwa ya blue.
Plz kama kuna njia au tatizo n nini hasa.
Simu yangu Infinix S2 Pro nimeruhusu "developer options" nikaivuruga hapa[emoji116]
Nika-select off ktk hizi sehemu tatu kama hivi[emoji116]
Naona simu imekuwa na speed kweli kweli sasa wakuu...
sasa halotel leo nawahama rasmi nishachoka mambo haya nahamia zangu TTCL, haiwezekani mnashusha vifurushi bei hampunguzi. leo nimeingia kwenye menu yao ya mwanachuo 500 sasa unapata MB 300 (Mwanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.