Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naomba msaada wenu, nikiwa natumia camera yangu aina ya Canon Powershot A1200,ghafla lens imekataa kuingia ndani, na yanakuja maandishi "lens error". Nifanyeje?????
0 Reactions
4 Replies
530 Views
Habari wana jamvi nimeletewa simu mbili za LG VERIZON moja ni tablet, nimejaribu kuweka laini za hapa bongo hazisomi na wala haidai kuingiza network code to unlock, naomba msaada wenu km kuna mtu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania Tumerelax Sana. Jaribu Kuangalia ISACA TANZANIA ISACA KENYA ISACA UGANDA Hivi Hawa jamaa tunaowaita Wezi, Je ni kweli wezi au Maopurtunisty??? Angalia wapigaji na wafanyaji.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni ya sim ya Apple imeshitakiwa huko marekani kwa kosa la kupunguza uwezo wa Iphone za zamani maksudi ili watu wanunue Iphone mpya. Kampuni ya apple imefunguliwa mashtaka 8 hadi sasa na moja...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wataalamu wangu Nina blog tiyari ila...nasikia ukitaka upate pesa kupitia blog sharti uwe (Adsense)...sasa nimeifungua ADSENSE mpaka kweny kipengere cha Payments...mpaka Billing...sasa...
0 Reactions
7 Replies
806 Views
Habari wana, ninahitaji circuit ya simu aina ya LG G3 Kwa aliye nayo kwa bei nafuu wasiliana na mm kwa namba 0674810827, Nipo dar.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo hii nmependa kushare nanyi game zuri lenye GRAPHICS KALI na challange nyingi za maisha GTA SAN ADREAS. GTA SAN ANDREAS ni game ambalo limeandaliwa na kudesigniwa na ma director tofauti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi naomba msaada namna ya kuondoa notifications za Facebook kwenye E-mail na kuzifuta sms ambazo zimeingia kwenye E-mail. Zinakera mno.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Husika na kichwa hapo juu naomba kuelekezwa nataka nijaze manual setting sim message center kwenye modem yangu ya ttcl
0 Reactions
1 Replies
4K Views
NIWEKA MAJINA YANGU YOTE KWENYE WESTERN UNION(GOOGLE ADSENSE) LAKINI INA NIAMBIA JE NAFANYAJE
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nipo Dar nahitaji fundi wa kuroot simu ya coolpad nimefika kariakoo kwa baadhi ya mafundi imewashinda. Tatizo la simu hiyo Inazima yenyewe haiwezi kuwaka mpaka iwekwe kwenye chaji ukitoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam sana.simu yangu ni mpya tu lakini cha ajabu n kwamba huwa inazima bila sababu na wakati mwingine inagoma ku-sense.nilitamani kuirudisha dukan lakin mbaya zaid sjachukua risiti
2 Reactions
6 Replies
976 Views
Hivi pale kariakoo ni duka gani naweza kupata FTA receiver ili niweze kuona ligi za ulaya kupitia sports 24 na sony
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wataalamu... Nina blog yangu...ila format yake sijaielewa na jinsi ya kuweka MATANGAZO na kutengeneza PESA sijajua... Kitu kingine jinsi format yake ilivyo iko tofauti na blogs...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Salam Samahani wakuu....simu yangu ni mpya haina mda mrefu "samsung grand prime+" Sasa nashangaa kila nikichaji full inaenda mpka ikifika 60% inazima.....yani kila inapofika 60% inazima kabisa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
habari zenu wana jamvi, mwenye ujuzi na uelewa juu ya Google adsense na propeller ads ni ipi nzuri zaidi ambayo naweza fanya nao kazi na nikafaidika zaidi kwenye blog yangu hawa wote wawili...
0 Reactions
99 Replies
10K Views
Habari zenu wana jf Kuna tatizo ambalo nali-experience kwenye simu yangu ya Android. Kama kuna mtu ana ujuzi nalo naomba anisaidie. Tatizo lenyewe ni kwamba; Simu yangu haionyeshi WhatsApp...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habar zenu jaman.kwanza nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya .Ndugu me ninashida na wanaojua cmd ( command line zake ) au hata kama unavideo au link ya toturial nzur ntumie hoseaalute3@gmail.com...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau nlikuwa naomba nulize kama tanzania kuna hackers i mean expert hackers sio amateurs aka copy n paste from google kama vile jamaa aliye hack tcu which was quite easy PLEASF I NEED FEEDBACK...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Back
Top Bottom