Habari za hapa na pale wakuu,
Je nawezaje kufanya message za Facebook ziwe private?
Yani ukiwa unatumia fb messenger, zisiwe zinaingia pasipo kuwa na kakitu kama ka drop box au sijui ki pop up...
Hello guys, naomba msaada kidogo...
huwa natumia sana youttube kwa ajili ya kujisomea (kuongea maarifa) sasa swali langu ni kuwa
kama kuna video ina dakika 50 na ina mb 145..
nikiangalia moja...
Jamani naomba msaada kama kuna mtu anaweza nisaidia ku-recover deleted contacts ,photos kwenye Android phone (Galaxy mini) .Nipo tayari kugharamia kwani kuna mtu ame-delete kwa makusudi ili...
Salama wadau,
Naomba tujulishane websites nzuri mnazotumia kushusha au kudownload Movies kali kali, najua watundu hii mambo mpo humu.
Kulikuwa na pirates, u torrent, sasa sijui nyingine, naomba...
ONYO: USITUMIE NJIA HII KWA ADSENSE
Mwagona....:):), Salamu ya kunyakyusa hiyo karibuni Mbeya jamani jiji ambalo huwezi lala njaa labda uwe mvivu kupitiliza.
Hakuna siri tena kama unataka...
nimekuta humu mara nyingi watu wakizungumzia namna ya kubadili certificate/imei .... Naombeni kama kuna mTaalamu anisaidie niweze kubadili imei ya simu yangu maana haisomi line!
Habari za weekend wadau
Naomba mnisaidie jinsi ya kuzipata picha zangu zoote ambazo zko hidding sizion kabisaa
Yaani nyingne zinaonekana na nyingne sizionii
natumia samsung galax neo 3
wakuu naombeni msaada email yangu imekuwa ikipokea jumbe nyingi hlf zinakuja bila ya kuwa na unsubscribe attachment,hii imekuwa ngumu kujitoa na emails hizo ili nisipate jumbe zao,hivyo najikuta...
N.B: MAADA HAIPO NOOB FRIENDLY
Kama utakuwa mgeni wa kupiga pesa online tafadhali pitia post zangu za nyuma
TRICK: TENGENEZA PESA KIRAHISI ONLINE
TRICK 2: PIGA PESA ONLINE KWA SKYPE
JINSI YA...
Hivi kuna mtu anaweza tengeneza program ambayo italeta interphase ya kuchagua option ya kufanya. Either program inaeza kua na option 3 kama vile
1. Kukonvert miles to km
2. Centgrade to...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
BismiLLaah, AlhamduliLLaah
In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUFICHA NA KUFICHUA CHATS ZA WhatsApp BILA KUTUMIA APPLICATION
Mahitaji
1. GB...
Habari Jukwaa la Tech.
Ndugu zangu nina tatizo la betri katika simu yangu Samsung Note 3 kila baada ya miezi minne betri linakuwa limechoka mbaya halikai kabisa na chaji... nimenunua betri mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.