Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Ukiacha advertising platform kama facebook , instagram na twitter nani yupo familiar na google ads namaanisha vitu kama gharama, namna ya kudeliver na vitu vingine muhimu Maana...
1 Reactions
4 Replies
419 Views
Nakwama naombeni maujanja kudownload movies kwa kutumia simu
2 Reactions
10 Replies
816 Views
Application hii nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujifunza programming. Kwa watu wenye idea ya mambo ya cryptology watanielewa zaidi.Cipher ni maandishi ambayo yamebadilishwa ili...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
US imepitisha sheria kuwa Tik Tok ijiuze kwa kiampuni za Marekani ndani ya mwaka mmoja au ifunge biashara US. Kwa nini bunge limepitisha sheria hii nzito?
1 Reactions
8 Replies
653 Views
Habari za wakati wadau; Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Umeshawahi kusikia maneno credit cards na debit cards? Inawezekana umekutana nayo katika mitandao ya kijamii, umesikia rafiki/ndugu wakiyatamka au kuyasikia kwenye movie, hasa movie za Marekani...
10 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari zenu wadau, mimi ni kijana, natamani siku moja niwekeze katika teknolojia, kwa muda kidogo nimekuwa nikijifunza programu kwa kujipambania mwenyewe. Nimejifunza kwenye simu kidogo kidogo...
2 Reactions
6 Replies
340 Views
Youths are the technology game changers. They're creative and skilled with digital tools, making big changes in industries and society. With technology and global connections, they're breaking old...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
  • Question Question
Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo. Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini. Nifanye nini wadau? Nakufa njaa...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Habari wadau, Nataka kununua hizi camera zenye muonekano wa bulb (taa) ili nizitumie kama CCTV kwaajili ya ulinzi nyumbani kwangu na eneo la biashara. Naombeni ushauri wadau kuhusu ubora,uimara...
1 Reactions
7 Replies
509 Views
Computer yangu HP inaniletea haya maandishi shida inaweza kuwa nini please
0 Reactions
2 Replies
209 Views
Ni waya gani sahihi wa kuunganisha mota kutoka kwenye mcb pia nataka kujua huu waya kwenye picha hapa chini ni milimita ngapi
0 Reactions
9 Replies
486 Views
Hivi ipi simu bomba kati ya hizi, nahitaji yenye speed ya internet, camera nzuri na uhifadhi wa moto mzuri, kwa kiwango changu nahitaji za viwango hizi 1. Samsung S 10 2. Redme note 12 c 4. Aquas...
2 Reactions
10 Replies
746 Views
Wakuu habari zenu? Naomba kujua endapo kuna mtu huwa anafanya malipo yake kwenye POS machines kwa kutumia simu ambayo tayari ina support matumizi ya NFC(Near Field Communication) Technology. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
wakuu kwema hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G wakuu naombeni msaada...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Msaada jinsi ya kuedit pdf document
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wanabodi, Shida ya hii forum unaweza kuomba ushauti mijitu inakutazama tu[emoji706] Twende kwenye Mada TZ na dunia nzima wafanyabiashara na wanunuzi wanakutana na barrier ya uaminifu.Hasa...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari wadau naomba msaada. Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania? Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…