Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada tafadhali! Tecno iPad ilitolewa sim card pasipo kuzimwa ilivyowekewa Sim card nyingine ikawa inadai Privacy protection password! Namna gani naweza kuiondoa hii waungwa? Sent using Jamii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nataka kujua yafuatayo: 1.Uwezo wa laptop husika kucheza games kubwa na nzito. 2.Specification za laptop husika. 3.Majina ya ma games unayocheza. Yale...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
1 Reactions
2 Replies
863 Views
Ninapoiwasha ina activate window, alafu inaniandikia low storage wakati kuna zaid ya GB 200 ziko free nashindwa kuielewa Window ni 8 pro Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kama kichwa cha habari kinavyosema, nina bitcoins chache kwenye wallet yangu, ninataka kubadili kuwa USD. Nipo Dar es salaam. Masaada.
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Najaribu kutafuta mtandaoni site nyingi unafanya reg baadae process zinazofuata inabidi kulipia
0 Reactions
4 Replies
563 Views
Almost everyone nowadays likes to become a YouTuber, both the people that owns a blog/site and those who don't have. Recently, online job seems to be the most suitable and easiest way to make...
3 Reactions
0 Replies
637 Views
Nimepoteza iphone 5 naomba msaada jinsi ya kuipata nimetumia siku tatu tu na pia icloud nilifungua nina serial number na IMEI nifanye nini kuipata?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini ndugu. .. Leo nawaletea ujanja/somo namna ya kukwapia picha iliyoko kwenye whatsap status ya mtu, bila ya kumfwata inbox.... Kumuomba akutumie picha au video aliyo iweka kwenye whasap...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, nina simu yangu aina ya Htc one M8 nilikuwa naitumia kama kawaida. Mara ghafla ikawa haisomi line ukiweka line inasema "No Simcard". Nikapeleka kwa fundi...
0 Reactions
4 Replies
626 Views
Science Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Shallom / Assalam Aleykum Wanaboard. Husika na kichwa cha thread hapo juu. Naomba mnieleweshe naweza vp kuweka whatsapp accounts 2 kwenye iphone/ios 10 kwenye android i used to use ile app ya "...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieieza majina yamefutika baada ya kufanya fomati ya simu yangu,majina nilikuwa nayahifadhi kwenye yahoo email.Aina ya simu ni Y-4 Techno Ninatanguliza shukrani.
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Wakuu, kwenye instagram huwa wanakushauri (suggestion) akaunti za kufollow, huwa wanakwambia fulani ni mmoja kati ya contacts zako lkn kwa kawaida majina ya contacts na majina ya akaunti za insta...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wapendwa, nina jambo naomba kuuliza hivi naweza kuroot samsung S8+?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Masada Please Coz Bado Sijaelewa.. Simu yangu FERO aula4502... Thanks
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Nikifungua simu yangu upande wa whatsap ninakutana na hicho kitu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejaibu kutumia account yangu ya master card kila details yakwenye card yangu niliyoingiza imenitambua na kuniandika hadi jina kabsa adi location ila katika kumalizia inagoma tatizo ni nini apo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
1# kubadilisha window nakupata latest window 2# ku update with latest drivers 3# kama unaitaji softwere yoyote ile kwa matumizi ya shule,office, kazi 4# ku root smartphone kukuwekea any softwere...
1 Reactions
0 Replies
699 Views
Back
Top Bottom