Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wadau kwa anayejua wapi naweza kupata decorder za canalsports na bei ya vifurushi, pia wapi naweza kupata receiver za strong zenye powervu pia ni autoroll Sent from my TECNO-C8...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nina laptop yangu dell latitude 13 HDD 320,RAM 2GB.Nilimwachiaga Dogo akawa anatumia kidogo wakati nimesafiri kidogo nilipprudi nkakuta window imecorrupt nkapiga window upya . Tatizo limekuja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar za umu mi mwanafunz wa mwaka wa kwanza IT sasa nna mpango wa kufungua blog kwa ajili ya kushare idea km vile 1. Kutengeneza video games 2. Kuelekeza programming 3. Hacking tutorials Na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta Mtaalamu wa kuset blog yangu ifanye vizuri katka google search..Mwenye Huu ujuzi ani Pm tufanye kazi
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Wakuu habari... Naomba kuuliza wapi naweza kununua simu ya Oppo A59 kwa hapa dar es salaam ikiwezekana na bei yake.. Shukrani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Niliichaji kwenye kibanda cha kuchajishia simu, baada ya siku mbili tatu, ndiyo tatizo likaanza, ilianza maandishi kuchezacheza, ikaja kioo kuchezacheza(flickering), sasa imekuja kwenye kioo kuna...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nimejaribu kutumia miracle eagle eye ver 2.27A box ,lakini naconnet sim sioni kazi yake sioni ikifanyika nimefuata sana njia zote za KWA KUWATCH VIDEO YOUTUBE ILI NIWEZE KUFANIKISHA ZOEZI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar watanzania wenzangu.Nina computer Aina ya toshiba RAM 3 HDD180 nahitaji kufanya video editing and photo editing.je machine yangu hii ina uwezo wa kufanya hizo shughuli na je kama ina huo...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nicheki Kwa app zakuuzwa Ku root any android smartphone Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
794 Views
Napakuwa window kwa kutumia utorrent imepakuwa mpaka gb 4 na point ipo asilimia tisini lakini inaleta error na ujumbe unaosema file too large( write on disk). Nifanye ili iendelee masna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Millardayo.com Mbona imeporomoka sana kutoka Rank Ya Alexa Kutoka Top Ten Kwa Tanzania hadi Nafasi ya 7000
0 Reactions
61 Replies
10K Views
After WannaCry and Petya ransomware outbreaks, a scary (but rather creative) new strain of ransomware is spreading via bogus apps on the Google Play Store, this time targeting Android mobile...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, habarini. Kwa yeyote mwenye access na latest eBooks ambazo naweza kudownload for free naomba msaada Kuna ndugu yangu mmoja alinisaidia search engine moja inaitwa www.torrentz.com lakini...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Habari zenu jamani kwa wale waenyeji wa mkoa wa singida hasa manispaa tafadhali nisaidieni anaejua mahali lilipo duka la sim na vifaa vya HUAWEI anielekeze plzzzz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Msaada;Smart phone yangu aina ya W4 hai access internet service gafla hii week ya 2 nliamua kui flash lakini bado tatizo lipo pale pake Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
1K Views
60-PLUS SOCIAL NETWORKING SITES IN 2017 Human nature by default has been programmed to be socially active to a certain extent. Some people are more active, while others are less so! However...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,msaada wa haraka unahitajika kuna rafiki yangu aliweka call barring for all incoming calls kwenye simu yake mpaka sasa hapokei simu wala sms. Tumejaribu kutoa kwa kutumia namba...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu..... Mwenye uelewa namna ya kufuta chat history on whatsap hata mtu akifanya back up asikute chat histories and messages anaeelewa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Binafsi nilijaribu kubadili battery nikaweka lingine ila tatizo likabaki lilelile,nikaamua kubadili adapter ila still tatizo likabaki lile lile. Kwa wataalamu naomba msaada katika kutatua hili tatizo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom