Ndugu jamaa na marafiki natumaini ni wazima wa afya.
Kama mtaalamu wa maswaala ya cybersecurity ningependa tupeane elimu kuhusiana na maswala ya ulinzi katika mtandao(cybersecurity) ambayo ni...
Habari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia...
Wadau habari za majukumu. Ninatumia modem ya Huawei mobile broadband E173 katika window 10. Nikiweka modem window inatoa alert ya kuashiria kuna new divice. Lakini kidogo tena inatoa alert ya ku...
Tatizo la subtitles kuchelewa kidogo au kuwahi naomba msaada katika hili tatizo natumia PC
Natumia MPC-HC player kuplay hizi movies.
Je kunauwezekana wa kuspeed hizi subtitles au kuslow ili...
Wadau naomba kusaidiwa namna ninavyoweza kufanya ujasiriamali kwa kutengeneza jukwaa la taaluma yangu ambalo nitakuwa naposti material, madesa yangu na tafiti mbalimbali pamoja na huduma ya...
Habar zenu wapendwa. Naombeni msaada wenu,
1. Simu inatumia Non-removable battery, ikijitahidi kukaa na charge n lisaa limoja je ninaweza kubadilisha battery?
2. Cover yake ni glass pande zote...
Wakuu,
Kwa wanaofahamu hivi vifaa,
Nina kiasi tajwa hapo juu,
lengo niende Kariakoo kununua Desktop Computer.
Naomba kujuzwa,
Naweza kuipata iliyokamilika kwa kiasi hicho?
Apple has killed off the last remaining app-free music players in its roster, the iPod Nano and iPod Shuffle, leaving nothing but multi-use, connected devices in the brave new world of streaming...
Ninaishi maeneo yenye tatizo na network,ving'amuzi vingi nilivyotumia(vya antena)vinashika kwa kubahatisha sn.je naweza kutumia zile booster za zamani ili kuongeza mawimbi ya network ya...
Kuna yeyote anaefahamu mambo ya computer anijulishe kama i3 iko sawa upande wa kucheza games nzito nzito kama GTA v,need for speed rivals,far cry...etc
Niko na core 2 duo inacheza slow motion so...
Habari,
Kuna mtu anatumia namba hiyo hapo juu, kila nikipiga hapokei, namba hii ilikuwa yangu iliibiwa pamoja na simu yangu yapata miezi 3 iliyopita cha ajabu tangu jana nikipiga inapatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.