Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye kuweza ili tatizo nimejaribu factor setting sijafanikiwa....>>>nimejaribu kuapdate kwa SD CARD aitaki kukubari.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Nina simu ya W5 inasumbua, nikidownload vitu (pictures,videos and documents) baada ya muda Kama wiki moja nakuta vile vitu vimejifuta Au wakati mwingin pictures zipo Ila...
0 Reactions
7 Replies
888 Views
Nahitaji SEO PowerSuite Software Mwenye nayo anipm tufanye bihashara
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Habari JF, Naomba kufahamishwa. Unapo futa file ama folder ama document nyingine yoyote katika kompyuta i/linakwenda wapi? Ikumbukwe kwamba kuna temporary deletion na permanent deletion...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Kwa wale players wa GTA v jifunze trick hii muhimu. More Gaming videos GAMING - YouTube Like subscribe also add me on PSN #wizzyquan
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani, maana nlikuwa naweza kuhamisha files kutoka kwenye simu yangu (Techno boom J8) kwenda kwenye PC lakini nikifanya hivyo sasa inagoma,lakini nikiweka simu aina nyingine...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
laptop ya hp compac 6910b imekufa kioo natafta replacement yake. Naweza kipata kwa mafundi gani? Pia hiyo kamba ya power button imesagiga nataka mpya. Pm me kama una hivo vifaa.
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Naomba kuelekezwa namna ya kurekebisha frequency kwenye dish la azam tv ambalo limepoteza uelekeo kabisa.Mimi nipo kijijini kiasi kwamba kumpata fundi italuwa taabu.Decorder inasoma intensity 16...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Prosessor hii ni ya desktop ipo sokoni ni dual core kwa 350,000Tshs Iko katika ubora wa hali ya juu. pm me price is negotiable. Sifa zake. Number of Cores 2 Number of Threads 4 Processor Base...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanaJF!!! Nafafuta battery original/Genuine ya laptop(kama inayokuja na PC)...au isipopatikana hiyo sio mbaya ata Replacement yake(Grade ya kwanza) yenye uwezo wa kukaa na chaji Masaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Kutokana na maombi ya wadau,kutaka niiweke hadharani circuit ya kuongeza nguvu ya umeme maeneo ya low voltage(Umeme mdogo) ambao unashuka chini ya 110 Volatage hivyo stabilizer ya kawaida...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Msaada wenu wakuu,modem yangu hupatwa na matatizo ya ku fail nnapo taka ku connect data.inaniletea ujumbe ambao nmescreen na ku attach hapo chini.huwa nna un install,halaf nna install tena,hapo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, naomba kushare nanyi website ambayo imekuwa ikinisaidia kupata keys za program mbalimbali ambazo zimekuwa zikiuzwa. Ukiingia Smart Serials The Ultimate Resource of Free Serials tafuta...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamii...naomba msaada wa kupata biblia ya kiswahili katika pc natumia window 10.
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani naomba mnielezee ipi ni best brand kwa uimara(not perfomance)kati ya HP, LENOVO, DELL NA TOSHIBA?? NB: Sihitaji maelezo ya brand nje ya hizo nilizotaja hapo. Sent using...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Naomba kujua jinsi ya kupata Unlimited Bando kwa matumizi ya Ofisini, kutoka kwenye kampuni za simu iwe Tigo, TTCL, Voda, Airtel, Halotel etc ila iwe na kasi ya 4G au 3G. Bando liwe ni la mwezi...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu habari Nataka kufanya sim card Port kutoka Vodacom kwenda tigo but kinachotokea ni kwamba kila nikifanya naambiwa taarifa ziko wrong, nikaenda Vodacom wakaniprintia taarifa zangu kama...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Wakuu tafadhali kisimbuz changu cha Azam kinaniandikia No program nimekitumia takribani mwaka, jana kuna dogo kaminyaminya rimoti sijui hata kafanyeje leo nawasha nakuta no program. Msaada tafadhari.
0 Reactions
10 Replies
33K Views
Back
Top Bottom