Wadau habari nina tatizo kwenye simu yangua ya infinix note 3 kwamba nime save namba kwenye simu nikipiga naongea frsh,nikitakata then nikiipiga namba iyo iyo naambiwa hakikisha namba then nipige...
Naombeni msaada wenu mnaojua na mpango wakutengeneza app nakuweka playstore sasa sijui kama unalipwa na kama unalipwa pesa kiasi gani kutokana na watu waliodownlod app yako?
maana naonaga...
Msaada please kwa yeyote ambaye anafahamu namna ya ku unlock bootloader katika huawei Y300-0100 naomba trick zake cause nashindwa kufanya update ya kutumia custom rom inakuwa blocked na hiyo...
Habari zenu wadau,simu yangu aina ya Tecno J8 inaingiza charge taratibu sana yaani kujaa asilimia 27 inachkua masaa 12,ili hali umeme hauja katika,nimejaribu kuizima na kuichaji mchezo ni ule...
Habari wana ukumbi
Nilikuwa nauliza je kuna uwezekano wa kuangalia tv channels za Tanzania nikiwa nje ya nchi just kwa kuweka freq zake?
Thanx kwa msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Guys nina tatizo la pc kuganda wakati nikicheza game la euro truck simulator 2 ,mwanzoni nililicheza vizuri kwenye hp g61 2gb ram,sasa nimeliweka kwenye dell 2gb ram linaganda sana yaani si enjoy...
UbongoFAIDA ni kijana ambaye aliingiwa na wivu wenye nia njema kuwa kwanini asitoe maarifa machache anayofahamu kuwasaidia vijana wenzie wenye nia ya kujifunza .
Sasa Atakuwa akikuletea mafunzo...
Ka kilongalonga kangu ka L8 tecno kameugua ugonjwa wa kutojaa haraka asee, waweza chaji kwa masaa zaidi ya nane na kasijae, nimebadili chaja zaidi ya tatu, lakini tatizo lingalipo.
Wajuvu wa haya...
Habari zenu wakuu. Ninapenda kufahamu kama hapa bongo huwa Kuna mshindano ya kumtafuta gwiji wa kucheza game la Tekken. Yoyote Mwenye taarifa anijuze tafadhari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.