Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini....Najua hapa nitapata ushauri wa kuaminika ambao ni msaada mkubwa sana kwangu! Mimi sijawahi kutumia IPHONE lakini hivi karibuni niliamua kutumia iphone nikamuagiza mtu aninunulie...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello waungwana...!!! Nimewrong kublock line yangu ya simu(tigo), So until this time siko hewani. Simu imeandika " PIN blocked, enter PUK".. Sasa nimembwera wakuu hata sijui la kufanya na hii...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu,ni app gani inatumika kuboost likes fb(free)?
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari za muda huu wapendwa wa jf ? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetumia muda wa siku 2 kuitafuta chaneli ya Varzish sport hd inayopatikana kwenye satelite tajwa hapo juu bila...
0 Reactions
1 Replies
716 Views
Hi wana jf naomba kufahamu aliye na uelewa na vifaa vitakavyoweza kutafasiri movie. Naomba msaada anitajie hapa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nilitengeneza blogspot hapo kipindi cha nyuma kupitia maelekezo ya wadau hapahapa jf...tatizo limekuja nikijaribu kui search google nifanye kama mtu anataka kuingia haionekani..blogspot...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wana JF, Karibuni kwenye makala nyngine leo tutaenda kujifunza jinsi ya kutumia sehemu mpya ya kuchat iliyokuja hivi karibuni, sehemu hiyo inapatika kwenye app za Youtube za Android na iOS...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam!. Najua zipo Application nyingine za kuwezesha kudownload bure app zinazouzwa,. Mimi naifahamu Blackmart lakini wewe unaweza kuweka nyingine kama unaifahamu...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
wale wajuzi leo nimerudi tena naombeni nijuzeni kati ya CPU izo tajwa yaani core i5 na core 2 duo ipi bora kwa matumizi na ambayo haistack stack ovyo yaani yenye high performance mpaka mtumiaji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je ninaweza kudownload game LA dream league lenye ukubwa wa MB 312 wakati ukubwa wa simu yangu ni ram yake ni 512.... Akhsante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila siku kuna kuwa na technology mpya nyingi tu zinazokuja za kuedit picha kwa kutumia cm. Sio mbaya ukatuambia wewe unatumia app gani kuedt picha zako. Ili nasi tujifunze. Mimi huwa natumia...
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Msaada tutani, Kwa karibia wiki sasa nimekua nakutana na alama katikati ya bandiko kitu kinachoninyima uhuru wa kusoma vizuri. Nimejaribu ku update Jamii forum lakini bado tatizo liko vilevile...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Natumia Nokia ya Torch sasa nataka niblock incoming calls zote, Nifanyeje naombeni Nielekezeni!
0 Reactions
4 Replies
5K Views
ni app gani free ya kuedit picha ya ios ambayo naweza kubadilisha rangi za nguo mfano nyekundu kua blue na vilevile background ya picha mfano background yenye majani ya kijani yawe yanjano?
1 Reactions
2 Replies
918 Views
poleni na majukumu ya kuijenga Tanzania mpya, ndugu zanguni hali ya mambo duniani inaenda kasi sana kiasi usipotumia mianya hupati upenyo.... sasa, kuna hii kitu inaitwa wifi..ni nini? na mara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je wadau kuna code yoyote ya kuingiza ktk ving'amuz vya star times kupata channel bure? Au ndo tuende kwenye radio tu usawa huu noma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti ni app gani ninaweza kudownload video HD ktk smart phone Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu nahitaji hiyo betri tajwa hapo juu iwe Original kwa bei ya Tsh.15,000. Pale Kariakoo Mtaa wa Aggrey a.k.a Mtaa wa masimu nimekosa! Kwa mwenye nayo Tuwasiliane kwa namba hii 0717577755 or...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Wakuu nisaidieni wajuzi wa electric equipment kipi bora kwa kutaype kati ya pc au tablet kazi kama barua assignment nk na kama pc ni aina gani? Deli au hp ? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom