Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari, nauliza, ni vifaa gani ambavyo vinasaidia kufanya network ya Internet ya simu kuwa ya kasi zaidi? Maana huku niliko network ni E pekee, napata shida sana ku-access internet kwani...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Habari ya wakati huu wakuu...Samahani Mimi kijana makini na maskini nina Simu tajwa hapo juu ambayo wiki iliyopita ilikuwa ikistuck sana mpaka nakosa raha ya kutumia sasa kupita pita kwa rafiki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hbar wana jamvi Nataka kujuzwa kati ya masoko ya mtandaoni tajwa hapo juu ni ipi iko vizuri katika unafuu wa bei, na huduma bora. Asanteni
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari. Nilirekodi video kwa simu ya Samsung android. Video ina ukubwa wa 1.6 GB lakini badae ikaandika temp video na haichezi kwa simu hadi ntumie vlc kwenye PC. Sasa swali langu ni kwanini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari!wakuu kuna jambo nimekutana nalo ni geni kwangu na ndo nasikia na simu ya tecno camon C9 ilizima ghafla ikawa haingizi charge wala haiwaki bado inawarranty. Nimefika carlcare hapa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenye ujuzi na ufungaji wa Azam sattelite dish na setup Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Salaam jf. Nilikuwa nahitaji simple circuit kwa ajiri ya ku discharge capacitor na kupelekea led kuwa on kwa sekunde baada ya power kuwa off. Yaani pindi power itakapokuwa on capacitor iwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kwa anayejua kutumia troid vpn trial account ikuwwezeshe kupata unlimited data bandwith msaada
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salam wakuu,simu yangu galaxy note 4 haioneshi majina upande wa message hata kama mtu aliyenitumia message nimemsave kwa majina,message zote zinakuja bila contact name Naomba msaada wa solution...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
What's New ? 1. Added Valid Credit Card Number generator. Generates randomly Credit bank cards of Tanzania (CRDB Bank, NMB TZ, NBC TZ, Stanbic Bank TZ, Standard Chartered Bank LTD, EXIM Bank...
0 Reactions
4 Replies
641 Views
Wadau kuanzia tarehe ya Leo tunatoa offer ya hosting,gharama ni 40,000 tu kwa package ya mwaka mzima, kwa yeyeto anayehitaji aje inbox au apige simu 0687 535650 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
853 Views
Habarini. Nimeletewa notification ya kuupdate operating system yangu aina ya Tecno lakini kila niiruhusu inaniletea ujumbe flani kama mnavoona kwenye screenshots. je nifanyaje ili niweze kui...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naomba mnifahamishe kati ya PC na smart phone wapi Mb zinaenda sana. Nataka niache kutumia smartphone. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
habari ya siku wanajamii,, poleni na shughuli na pilipilika za hapa na pale,, kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,, ni kwa namna gani naweza kuunganisha king'amuzi cha startimes ama chochote...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Na maswali mengi kichwani mpaka nashindwa kupata jibu.... Tatizo nini hasa mpaka iwe hivi.. Ina maana TRL hawana kitego cha I.T, au webmaster anayeweza lekebisha swala hii. Au hii website...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Wasalaam ndugu wa jukwaa hili Kama kichwa cha habari kinavyosema,naomba mnipe ushauri juu ya hii simu -Whatsapp haijatolewa? vipi Instabeta? vipi kuhusu window 10?,na mengineyo ya kitaalam...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kuboresha huduma kwa wateja wake, Programu ya WhatsApp ipo mbioni kuongeza sehemu (Features) mpya nne ambazo zitawasaidia watumiaji wake kupata unafuu na urahisi zaidi wakati wa kutumia...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
Habarini wanajamii naomba msaada wa namna ya kuangalia local channels kwa kutumia kodi kwenye pc.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka Ku, unlock account yangu ya SARIS, nisaidieni mbinu za kutumia , natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Naomba kujua ni application gani nzuri naweza kutumia katika simu kurusha matukio katika youtube channel yangu, na naomba kujua ni simu nzuri inayoweza kutoa video HD ni yenye uwezo gani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom