Watu wengi hatupendi matangazo yanyayo jitokeza kwenye apps.
Ili kuyaondoa uwa mwenye app anakutaka uilipie uwe premium user.
Kwa android kuna apps kibao kama adblock na nyingine maana android ni...
Habarini......jamani me sina raha mwenzenu,kila niki search website ya kudownload series sifanikiwi. So far nimeshasoma threads nyingi zinazohusu website husika but nikiingia zinani direct tu mara...
Wakuu habari zenu,
Laptop yangu ina processor ya i5-4200M 2.5Ghz
Je inawezekana kuiongeza nguvu na kubadili graphic card? Maana mostly nasikia kwa Desktop na sii laptop.
Wenye maujuzi karibuni
Mambo vipi wana IT?
Nimemaliza kufanya project yangu, ni website ina features mbalimbali ikiwemo forums. naomba mtazame kisha nitashukuru kusikia neno lolote la kujenga kutoka kwenu, kwa...
Americans are too smart to get rid of them aisee. Inasemekana Kampuni ya Google kupitia operating system yake ya android ambayo ndio the widely used smartphone O.S kwa sasa wanakusanya...
Nina modem yangu ya Huawei mobile broadband yenye model no. Model: E173u-1 naitaji itumie line zote kwa matumizi ya internet.. shukran.. nipo dar es Salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina simu tajwa hapo juu ina app ya otg USB lakin nmeshindwa jinsi ya kucoppy au kumove nyimbo ktoka kwenye simu kwenda kwenye flash
Nmejarbu kutmia Filela send to SD card through share imegoma...
Ninataka kujilipua kwa ku update simu yangu kwenda IOS 10.3.3 ni iphone 6 plus sasa wananiletea update ya Ios 10.3.3 Naomba ushaurii Niifanyaje hiyo update au itaniletea shida kwa wazoefu...
Ni Jana tu usiku nimeshtukia simu imepoteza network kwa line zote mbili na ghafla zimekuwa inactive kote ila inasoma line ya voda ambayo its not my favourite. Naombeni msaada napata kitu kama...
Nina Hard disk 2 zote 500GB@ wapi nitapata mtaalamu wa kurekebisha hazi somi japo zina zunguka vizuri. Moja ina soma kidogo japo haionyeshi ile space buffer ukijaribu ku format haikubali...
Nahitaji Majibu Unique Wakuu Kama Ku Google nisha Google Sana Na Video za YouTube nimeziangalia Sana nnaombeni Msaada
Inaonesha Imebaki na 1.61GB kati ya 98GB
Cha Kushangaza FOLDER la USER...
Msaada wakuu natumia hii simu lakini inaniacha hoi kwenye jambo moja tu, nikidownload app inachagua kuzifungua zingine zinafunguka vizuri zingine zinagoma kabisa inaandika unfortunately show box...
Anzisha Biashara ya Website Hosting Kwa mtaji usiozidi Tsh 150,000/=
Tanzania Website Experts inakupatia vifuatavyo;-
Reseller Hosting Package kwa ajili ya kuuza hosting space kwa wateja wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.