Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naombeni msaada kama kuna mtu mwenye code za php zenye uwezo wa kugeuza data to pdf file anisaidie Maana nimetumia za ajax ila naona zijakizi vigenzo nnavyotaka Pia hata javascript poa...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Naombeni msaada wenu kwa kujua hatua za kupata jibu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu kicha cha thread kinajieleza nipo natengeneza Data base, sasa nahitaji database management systeam(DBMS) kama microsoft SQL server sasa mwenye msaada wa link ya kuipata hiyo server ili...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeunganisha deki na TV. Nikichomeka USB Ili nisikilize music. Lakini haifanyi kazi. Inaniandikia hivi Nimehangaika naona siwezi kutatua. Msaada wenu. Natumia HOTPOINT TV. I'm the queen of...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
huku mkoani hasa nikiwa nimesubscribe kwa unlimited ya Mwezi unakuta mara kadhaa kwa wiki spidi inakuwa 2g, ukipiga wanasema kuna tatizo ila saa sita usiku spidi lazima iwe nzuri sometimes mpaka...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu naomba sehemu nitakayoweza kusomea Programming full course na niwe certify kabisa na nipate cheti za hii course asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
727 Views
Yani voda noma 500 unapewa sms 500 ,mb 500 na dakika 50 hii vyuoni tu na speed yake iko poa. Yaan nimemiss hiyo offer nipo likizo nilizoe kushusha vampire diaries. Wataalam hatuwezi kuhack hii...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Nazan kichwa cha habari kinajielza naomben msaad ni unlock simu yangu itumie laini zote
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau ninaomba mwenye kujua setting za internet za hawa halotel kwenye android phones Name: HALOTEL Apn: b_internet Then save. Ila me nimeset hivi; NAME: Halotel APN: Internet wap PORT...
2 Reactions
70 Replies
105K Views
Rejea kichwa tajwa hapo, mwenye nayo tafadhali tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa kinavyosema tatizo hili limeanza hivi karibuni Nikipiga picha haionekani Kwenye gallery inaandika "cant generate thumbnail" Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana jf.mara nyingi napenda sana kusoma vitabu softcopy lakini. tatizo langu ni moja, naombeni mnisaidie namna ya kuweka alama ya rangi sehemu niliyoishia kusoma ili...
0 Reactions
6 Replies
956 Views
Nataka kununua kwa wale wataalamu, je naweza kupata Local TV za hapa Tanzania na nchi za jirani.? Kama kuna maelezo ya ziada sio mbaya ukiniongezea. HDMI 1080P VGA DVB-T2 DVB-T TV Box AV to VGA...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu; Nmefanya 'hard reset' kwenye Tecno W2 lakin shida imekuja kwenye 'gmail account verification' kwani 'previous gmail account' iliyokuwa signed in ni ya muda mrefu hvyo details zake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
5K Views
nawasilisha wakuu naomba msaada kwa atakaye nisaidia njia kupata hz application ukiacha kwenye store
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Habar watz wenzangu naomba msaada wa namna ya kuweka maandishi ya italic kwenye simu ya tecno n8 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani huko halotel internet inapatikana? Hapa hakuna sasa ni saa kama tatu hivi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Intel leo wamezindua generation ya nane ya CPU zao itakayojulikana kama kabylake refresh, kwa sasa wamezindua CPU za laptop tu, uzinduzi wa desktop na tablets utafuatia baadae. Kwa wale...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wahandisi wa Masuala ya Kompyuta nisaidieni. Ninayo computer hapa DELL INSPIRON 2200 inatumia Windows XP. Kinachonitatiza ni kwamba najaribu kutumia simu aina ya Samsung ili kupata wireless kwa...
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Back
Top Bottom