Habari wana JF, Ni wakati mwingine tujifunze kidogo kuhusu teknolojia. Najua wengi wetu tunatumia simu lakini kwa wale wachache wanaotumia kompyuta basi hii ni bora sana kuliko kutumia program au...
Yaan kuna mtu amenitumia meseji nikashangaa jina limejisevu tofauti na nilivyomsevu ila namba ni ileile!
Kucheki phonebook, majina mengi yamekuwa merged/renamed, nifanyeje wadau, nimejaribu...
Tokea nimenunua hii kitu haijapita hata mwezi, ila performance yake imekuwa ya kusuasua yaani mara nyingi kinakuwa hakiko hewani.
Hii kitu naona hakinipi uhuru wa kupata habari, naomba wale...
Huu ujio wa ving'amuzi vya BTL ingawa itakuwa ni gharama, lakini naamini vimaweza angalau kukata kiu yetu kwa upande wa ubora wa vipindi pamoja na picha. Sipati picha kitakachowapata hawa wachina...
Wadau heri ya X-mass na Mwaka mpya!! Tukiwa ndani mfumo mpya kwa mkoa wa Dar es Salaam wa Kidijitali,tunashuhudia wimbi la ving'amuzi likishamiri kwa kishindo. Hii itakuwa faraja kwa...
KAMPUNI YA SSB KUPITIA AZAM WANATARAJIA KULETA KING'AMUZI KIPYA NA CHA BEI POA AMBACHO KITAUZWA TSHS 30,000 NA MALIPO YAKE KWA MWEZI NI TSHS 2000. Kwasasa nasikia kipo kwenye majaribio kwa baadhi.
Maana naona kuna kiongozi hapa anatamba eti sasa mikoa yote imeunganishwa mkongo wa taifa wa mawasiliano lakini mie binafsi sijauhisi kivyovyote katika mawasiliano yangu sababu kipindi...
Habari wadau,
Siku nyingi kulikuwa na tabia ya kukwapuliana simu ama kuibiana simu endapo unakuwa umeisahau mahali.
Kuna wajanja waliniibia oppo yangu kwa moja ya staili hizo hapo juu wazee...
Kila nikiwasha PC yangu yanakuja MANENO haya" Ur Window license will expire soon, u need to activate window in setting......Tar 7/9 /2017 ndio inasema INA expire......Kumbka hii PC ni mpya hata...
Habari wanajukwaa la elimu? bila shaka hamjambo, nina kitu nataka niwashirikishe hapa,
Baada ya kunyanyaswa sana na mapenzi natafuta msaada jinsi ya kupata roboti ambalo litakua linafanya...
Wadau kwa siku za karibuni nimekuwa nikiona remote control za decoder za azam hazifanyi kazi vizuri yaani zinakataa kataa pale unapoielekeza remote kwenye decoder, mfano unapotazama tv ukitaka...
Hakuna haja ya kuwa na ujuzi mkubwa, Utachohitaji ni google tu, Jifunze kupitia video hii yenye maelezo kwa kiswahili namna ya kudownload movies kwa wepesi zaidi bila kutumia software za ziada.
Nawashukuru sana continental kwa kuja upya mmenikosha moyo wangu
Ni muda mrefu wateja wa continental walikuwa wamekata tamaa baada ya kuweka machannel ambayo yalikuwa yanachosha watazamaji...
Tianhe-2, which means Milky Way-2, operates at 33.86 petaflop/sec, which is the equivalent to 33,860 trillion calculations per second. Meanwhile, an average high-performance computer approximates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.