Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Bill Gates ni bilionea namba moja duniani. Utajiri wake ameupatia kwenye sekta ya teknolojia kwakuwa muanzilishi-mwenza wa kampuni ya Microsoft. Kwa kipindi chake, kuweza kuanzisha kampuni ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kuna mtu binafsi au kampuni.inataka kuuza vitu online....... Nauwezo wa kumtengenezea website ya biashara(E-Commerce) na malipo ya products zake yakawa ni kwa njia M-pesa...... Karibuni.....
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaada namna ya kuiwezesha simu ya promotion ya VODA ambayo ina line mbili lakini Internet inakubali sim 1 ambayo ni VODA pekee lakini line2 ambayo inakaa ya mtandao wowote haina...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam wana jukwaa!!!, Nina simu aina ya microsoft lumia 640XL sasa hii simu sasa hivi ina tatizo la kila ninapoperuzi humu jf au kufungua habari yeyote ambayo itahitaji nitumie browser basi...
0 Reactions
2 Replies
719 Views
Habari ndugu developer wa apps za android mimi nipo njiani kumalizia website yangu ya entertaiment so nahitaji app lakini sina pesa ya kulipia ila nina source code za app zaidi ya moja, kama kuna...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wa FTA NAOMBA KUJUZWA KAMA HOTBIRD SATELLITE INAPATIKANA KWA HUKU KWETU TANZANIA NA KAMA NI NDIO DISH SIZE NI FUTI NGAPI? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Ni wiki sasa na siku kadhaa hamna matangazo katika ving'amuzi hivi continental na ting sasa je? Kuna namna nyingine ya kupata FTA channels kwa receiver za mpg4 na HD??
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Kama wewe ni fundi computer au laptop upande wa hardwares au softwares basi tukutane hapa tupeane changamoto na ujuzi wa kazi yetu.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
RAM ni nini? Hiki ni kifupi cha neno Random Access Memory, Hii ni hardware memory ambayo simu yako au computer uitumia ili kufatikisha utendaji wake, RAM uhusika na kazi ya kuzishikilia...
3 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari wana jf wenzangu naomba msaada wa mesage zinazoingia wasap kama nimezima simu masaa zaidi ya 12 au siku moja nikiwasha simu mesage zinazoingia wasap zinasema waiting for this mesage afu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wadau.. nina wifi router ya airtel nilinunua miezi mitatu iliyopita.. spidi ilikuwa nzuri sana nilipokuwa naishi mwanzo maeneo ya kurasini.. sasa nimeamia ubungo sehem ambayo mnara uko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Smart ya kwanza kumiliki ni hiyo hapo ya 2012 niliinunua 2013 DEC. Nimekaa nayo sana had juz ndo imeibwa sasa nafkiria sim nzuri stak tenaa Samsung wala tecno au itel. Hizi xiaomi nimezipenda...
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Wabobez simu inajizima data alafu inaniletea hii mesej kwenye screen mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
0 Reactions
15 Replies
987 Views
Mwenye network ID ya TTCL anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wakuu niliinunua iphone 7 plus ikiwa mpya kabisa cha kushangaza imekufa sensor ya finger print! Nimepitia forums mbalimbali nimekutana na hayohayo! Matangazo mengi ya simu za iphone 5-7...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wataalam wa kutoa Malock kwenye hizi simu munisaidie....Nimetumia kwa miaka kadhaa simu hii bila ku-unlock...ila kwa kasi hii ya internet inanilazimu tu nivunje kanuni... Brand:Huawei Y300...
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Habari simu yangu aina ya Techno W5 nikiwasha hot-spot Wi-Fi inajizima baada ya sekunde 2. Kabla nilikuwa natumia vizuri tu. Naomba msaada wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nina bajeti ya sh laki tano naomba wale wenye uzoefu na simu waniambie kwa bajet hiyo ninunue simu gani bora natanguliza shukrani za dhati kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu msaada ndugu yangu alikuwa anafanya hard reset sasa kufika hapa kashindwa NB Email ilikuwa inatumika imesahaulika Nawasilisha
1 Reactions
3 Replies
693 Views
Habari wadau, Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia namna ajira hizi za IT na computer science, katika kufuatilia kwangu nimegundua waajiri wengi ama wanakosa MTU mwenye sifa stahili kwa kazi yao...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom