Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu?. nimekuja tena kuomba msaada nikiamini hapa hakuna linaloshindika. Nilikuwa natumia simu ALCATEL 5023F na sasa natumia TABLET MIN7 VFD110(zote ni za vodacom) tatizo la hii table ni...
0 Reactions
8 Replies
983 Views
Nimejaribu kutumia command prompt kama admin na kuchokonoa kwenye registry lakini nimeshidwa kussolve hili tatizo Anayeweza kwa njia nyingine, au alternative nyingine inakuaje hapo? Nataka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hellow.......Nilikuwa natafuta application kwenye simu yangu ya android ambayo kazi zake zinafanana na IDM katika computer kwamba nikipata Wimbo kupitia SHAZAM (application inayo nisaidia kupata...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu niko kwenye mchakato wa kuchukua simu mpya baada ya kuchoka vituko vya hii tecno yangu. Na nilipenda nichukue simu moja wapo kati ya hizo mbili hapo juu, naombeni waliowahi kutumia hizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari, nlikua nataka kununua hii pc ila katika kugugo nmekutana na kukatishwa tamaa kwingi, ngependa kujua kutoka humu kwa aliewai kuitumia, je ni nzuri, na inafaa kwa matumizi ya chuo kwa IT? na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Google wametangaza rasmi kuwa toleo jipya la mfumo wa uendeshaji wa vifaa vinavyo tumia Android utaitwa Android Oreo, toleo hili ambalo limeanza kuachiliwa kwa watumiaji wa Google Pixel na Nexus...
12 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani naomba kufahamu, nina account mbili za Adsense na zote nimesajili kwa majina yanayo fanana, pia account moja nilishapokea barua na nika-verify account, sasa na hii account ya pili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Najaribu ku connect samsung S6 hotspot to Macbook Pro ili nitumie mobile data ku browse the net via laptop inagoma Cha ajabu Niki connext wifi hotspot kwa Samsung Tablet inakubali Msaada please...
1 Reactions
4 Replies
768 Views
Wakuu Msaada apa kidogo nimekwama kwa anaejua hii trick anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mdau wa mambo ya mawasiliano na nina tabia ya kupita pita huku na huku kupata chochote kile kinachonifaa. Niliona kama wamekuja tena upya nikanunua line yao nilichokiona naona wanachemka...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari wana JF. Natakuwa kujuwa vp computer engineer tanzania inafanya kazi sehemu zipi.? Na napenda kujuwa idadi au projects zilizofanywa na computer engineers Katika Universities tofauti za...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu Naomba msaada wenu sana tena sana Simu yangu mda flani inajizima data yenyewe yaani kwenye setting inaonyesha data ipo on lakini hapa juu kwenye status bar hakuna cha 3g wala H+ na ukiingia...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
hii situation inaniumiza kichwa kwakweli almost nusu ya video zangu zimekua flagged as "Not suitable for all advertisers" kwa mliokutana na hii situation mmebahatika kujua chanzo na muarubaini wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chahusika. Wanajamv naomba msaada kwa yeyote anayefahamu sehemu wanayofundisha just coding or programming dar es salaam anielekeze. NB: isiwe chuo kikuu kama udsm na ifm. Just...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Za mchana waungwana. naomba msaada kidogo nina simu yangu nokia lumia n9 niliiweka kapuni kwa muda sasa juzi nimeiwaisha na kuiwekea laini imekataa kushika network, ukiweka inaandika mobile...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu tafadhali...Nahitaji kuandika heading fulani ila kwa nyuma (background) niandike vimaneno vidogo vidogo ambavyo vitaonekana kwa mbaliii(Mwenekano hafifu). Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Raia wa Nigeria Oshi Agabi amezindua kompyuta zinazotumia neva za panya katika kongamano la kiteknolojia la TEDGlobal linaloendelea nchini Tanzania. Mfumo huo umefunzwa kutambua harufu ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.. Mimi ni shabiki wa Andriod,nipo katika kutafta simu mpya.. Nilikua naisubiri S6(baada ya kutoridhishwa na Note4) kwa hamu lakini sijapenda muonekano wake.. Sipendi simu...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Kwa hapa dar naweza pata wapi kioo cha hiki ki laptop na bei ya kioo ipo je Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar za wakati wakuu Naomba msaada Kwa anajua camera inagoma kufunguka LG Nexus 5 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Back
Top Bottom