Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
SAP HANA Cloud Integration is also known as sap HCI. SAP offers Lowers cost, increases speed, and enhances simplicity for our customers. SAP HANA Cloud Integration includes: •Core runtime for...
0 Reactions
2 Replies
721 Views
Natafuta fifa game apk mwenye kuweza kunisaidia tafadhali ..iwe na offline playing mode Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwann frequency za radio FM zinaanzia 87.5 hadi 108???? Msaada kwenye tuta Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka kununua simu naomba ushauri ni aina gani ya samsung yenyekutoa picha HD yenye quality nichukue wakuu balance yangu ni 250,000 naombeni ushaur na msaada wenu
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimefanya HARD-RESET inashindwa kumaliza na inaishia kusearch Wifi network, ile option ya kuskip imefaint nifanyeje?
0 Reactions
13 Replies
7K Views
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU Kwa miaka mingi sasa tumekuwa tukiumia sana na hili swala la kutokuweza kupokea malipo kupitia paypal, binanfsi ni member wa paypal toka mwaka 2007, hadi leo ni...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Plz naomba msaada Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanasayansi wamebuni kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu. Kifaa hicho kimeundwa kuwasaidia madaktari kusaka vifaa vya madaktari, vinavyofahamika kama...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
heshima kwenu. Niaomba kujuzwa bei/gharama ya kununua charger ya laptop (Acer) au kutengwneza adapter iliyoungua na umeme.
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Habari wanajamvi!!! Nawezaje kupata wwbsite au blog ambayo itawezesha kudownload video na audio,pia kuwezesha malipo kwa kila anayedownload? Msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu simu yangu ya Huawei Y-530 niliifanyia rooting ila sasa imeanza kujizima yenyewe na nikiwasha haimalizi inaishia kwenye Logo ya Huawei. Nimesha flash mara nyingi sana lakini tatizo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu...wakuu nauza kioo cha LG4 NA LG3 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Kuna TV ya chogo inasumbua. Ilikuwa inatumia muda mrefu mpaka iwake tena kwa kuigongagonga tunatatua vip jamani? Samahani kwa kuuliza hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wakuu na tablet yang hapa imeharibika display naomba kwa yeyote ambaye anafanya business kama hyo naomba nifaham ni bei gan? na kama inawezekana tufanye business. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
759 Views
habari ya jioni wakuu ..kama madaa inavyojieleza hapo juu..ni kwamba tv yangu ya samsung nikiiwasha in blink sanaa wala haitizamiki nimewapelekea mfundi kazaaa lakini imewashindwa kuitengrneza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo vipi ndugu wanaJF, Nimefungua kampuni yangu ya kilimo lakini nahitaji kupata program mahiri kwa ajili ya kutrack business yangu. Please naomba msaada kama kuna mtu anajua program yoyote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye hiyo software naomba ajitokeze kuna kazi nahitaji kufanya kwa kutumia hiyo accounting software.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu naomba kuuliza eti ni accounting package ipi inafaa kutumiwa na kampuni ya ujenzi,mfano ujenzi wa reli na barabara na ujenzi mwingine mkubwa. Msaada wa haraka plz.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ivi inawezekana kuunganisha namba ya mtu mwingne na yakwangu ili call na mesej zake nizipate Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu?. nimekuja tena kuomba msaada nikiamini hapa hakuna linaloshindika. Nilikuwa natumia simu ALCATEL 5023F na sasa natumia TABLET MIN7 VFD110(zote ni za vodacom) tatizo la hii table ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom