Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Washington, Marekani wamegundua njia mpya ya kupima saratani ya kongosho na magonjwa mengine kwa kutumia App iliyopewa jina la BiliScreen ambapo mgonjwa atakuwa...
TOUCH SCREEN INAUNGANISHA UMEME WA BINADAMU NA WA COMPUTER.
Ndio, moja ya teknolojia ya touch screen inatumia umeme uliomo ndani ya mwili wa binadamu kugusana na umeme uliomo ndani ya chombo...
Nina memory card yangu ya gb8 nikijaribu kufuta kitu chochote inaniambia write protected hata nikitaka kuingiza kitu chochote, je nifanyeje ili kuondoa hiyo msg. Na iweze kuwa formated na kuingiza...
Mimi si mpenzi wa story zisizoisha kwenye makundi ya Whatsap, sasa hata hivyo kuna baadhi ya magroup ukijitoa unaonekana mkorofi.
Nilikuwa naomba utaalamu wa kuweza kuwa na magroup lkn niwe...
Wakuu naimani week end ipo vizuri
Ndugu yangu katoka Kenya kaniletea zawadi ya dvd player blueray, hii Dvd ina cable ya DHMI, Tv yangu ina support DHMI, Kila nikiunganisha DHMI Cable angalau...
Baada ya Samsung kufanya manufacturing ya soc za apple kuanzia processor aina ya APL0098 mnamo mwaka 2007.
APL0278 mnamo mwaka 2008.
APL2298 mwaka 2009 katika iphone 3G.
Na baadaye A series kwa...
Kama kichwa cha habari kinavosema unawezaje toa gmail account kwenye simu ambayo inadai gmail account ambayo iliyokuwemo baada ya kuifrash simu
Msaada tafadhal maana nina simu inadai gmail...
Habari zenu ndugu. Napenda kufaham ni jinsi gani naweza kulipwa kupitia #youtube. Nimezoea kusikia kuna watu wana earn money through #youtube sasa napenda kufaham.
Wakuu habari.
Naomba nielekezwe jinsi ya kuweka signature yangu kwa kutumia computer.
Mfano nataka nikiandika barua ya kazi na kuapply online sehemu ya kusaini kwa mkono nisaini moja kwa moja...
Salamu wakuu ,
Nina Stationary yangu sehemu nimepata changamoto Mbili kwenye pc , pc moja Ina install software/drive za Epson printer w-345 lakini inakuwa incomplete hivyo siwezi ku print
Pc...
Nina Blog yangu itakuonyesha kwamba njia ya ku earn bitcoins online,
kama hujui bitcoin ni nini angalia blog yangu itaku eleza kila kitu :)
Earn money on short links. Make short links and earn...
Rafiki yangu ana Starlet Carat...bahati mbaya mkewe kafungia funguo ndani ya gari, hiyo ilitokea baada ya kulock milango manually.
Kwa mtu yoyote mwenye ujuzi wa namna ya kufungua gari pasipo...
Mawe kadha wa kadha yameshawahi kupita karibu na uso wa dunia lakini jiwe Florence ni kubwa kuliko yote yaliyowahi kupita karibu na sayari yetu.
Kitendo cha jiwe hili kupita karibu na dunia...
Wakuu poleni kwa Majukum nina laptop yangu ASUS. Hii machine inajizima yenyewe baada ya kuwaka. Isipojizima ukijaribu kuitingisha au kupiga juu ya keyboard kwa kishindo inajizima. Uki-connect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.