Naombeni msaada kuhusu simu iliyoibiwa baada ya kupatikana ukitaka kuhakikisha kama ndo yenyewe unafanyaje! tofauti na ile njia ya ku backup photos kwa email kwani email haikumbuki mwenye nayo.
Naomba mjuzi anisaidie ,nataka ku update eurotruck sasa kuna ka program(updater) kana demand nikahamishie kwanza niliko install hiyo game ili niweze update, nikijaribu kuhamisha inagoma
Sent...
Natumia simu ya samsung,tatizo ni kwamba android market haifunguki,ina load kisha inaandika server error.Naombeni msaada wenu nimejaribu kurestore lakini tatizo bado
Ahsanteni
Nataka Kurecovery My Google Account Ila Nafika Mpaka Hatua Ya Mwisho Ila Sielewi Nitazipataje Verification Code Wakati Account Inataka Password... Anayejua Msaada Tafadhari
Wakuu habari, naomba mwenye ujuzi wa ku crack applications anisaidie process zake,
Maana nimejaribu mara kadhaa nakua nafail
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani wana jamii,habari zenu.
Nimekuwa nikifatilia namna ya kuhost website na blogs.
Naomba msaada wenu,mnifahamishe hapa kidogo.
Hivi mtandao kama kupatana ,jamii forum wanafanya dedicated...
Hy wana JF....!!!
Naomba kuelekezwa namna ya kujiunga kifurushi hiki cha Clouds plus, kinachopatikana kupitia king'amuzi cha Azam tv..
Maana mishe zote za Fiesta 2017 zitakuwa zinapatikana humo...
kuna rafiki yangu anatak kuniuzia samsung j1 2016 ila kabla sijaichukua naomben mnipe mdokezo iko vipi kwa wanayoifahamu au kuitumia specs zake nimezicheki ila nahitaji ushauri pia...
Sent using...
Habari zenu wanajamvi.
Hivi karibuni nilinunua kutoka katika Vodashop aina hii ya modem (K3772-Z) lakini kwa bahati mbaya eneo ninaloishi mtandao wa Vodacom hauko vizuri kwenye Internet...
Habar za majukum wakuu? Bila kupoteza muda naomba kuuliza tangu kukatazwa kurushwa drones na TCAA bila kua na idhini ya wizara ya usalama na kibari toka TCAA, je kuna mtu amefata taratibu na...
Hello Gentleman and ladies,
Naomba msaada wenu jamani, nataka niwe naficha Apps kama vile ya Badoo au truecaller ili mtu asione nitafanyaje wakuu wangu.
Msaada please.
Sent using Jamii Forums...
Hello ndugu zangu,laptop yangu inatatizo la kujizima hasa inapochemka baada ya kuwa imefanya kazi sana.Sasa hivi naona tatizo linazidi haiwezi kukaa hata lisaa limoja bila kujizima tofauti na...
Msaada naomba mwenye hizi plugin za fl studio
Hypesonic
Nexus
Ochestral
anitumie email: frankmwandy@gmail.com au wapi kwa kuzipata
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.