Wadau wa hili game mm newbie kwa hili game, nimeanza kucheza jana tatizo steering wheel iko left while nataka iwe righthand drive .msaada hapo maana nashindwa kucontrol vizuri
Sent using Jamii...
Habari, ninashida kwenye simu yangu ya tecno J8, kila nikitaka kureset factory inanipa meseji ya unfortnately, settings has stopped, hivyo basi zoezi zima linakwama.
Pia nkitaka kutumia whatsap...
Xiaomi Mi MIX 2, Mi Note 3 Launch Set for Today: Live Stream, Specifications, and More
Gadgets 360 Staff, 11 September 2017
HIGHLIGHTS
Xiaomi Mi MIX 2 launch is set for 11:30am IST
The Mi MIX 2...
Nimefuta meseji za malipo yaliyofanyika kwa njia ya M-Pesa wakati nanunua mzigo wa duka muuzaji amesema pesa hajaiona kwa anayeifahamu njia ya kurudisha msaada Tafadhali[emoji31] [emoji30]
Sent...
Mwenye Ujuzi Wowote Wa Jins Ya Kupata "Serial Number" za IDM au Internet Download Manager Naomba Anitumie Au Anipe Njia Ya Kuzipata... Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu ni samsung GT-I9000 galax S ina tatizo la android market kutokufanya kazi, tatizo ni baada ya kurestore na pia simu ilinunuliwa ikiwa na gmail tayari lakini baada ya kucreat gmail mpya...
Msaada naomba mwenye kujua natumia sumsung galax s6 inasumbua kushika network zaman ilikuwa inashika vizuri lkn saivi inashika baadhi ya sehemu nikiwa nyumban haishiki nikienda mjin inashika...
Wakuu, kwa anayefahamu jinsi ya kuangalia bundle ili niwe confident hasa wakati muda unakwisha kwamba naweza ku download kiasi gani kutokana na kiasi cha bundle ili zisiishe bila matumizi.
wandugu naimani mko wazima, samahani kuna ambaye ameshatumia simu mojawapo ya hizi anipe dondoo zake
1.Samsung Galaxy Note5 (N9208)
2.ASUS ZenFone AR ZS571KL
3.Huawei P10 Lite Dual Sim
4...
Habari wakuu.
Hivi kwanini ukiacha salio kwenye simu (in my case Vodacom), baada ya muda utakuta salio lako limeisha imebaki Tsh 2 au 3 tu hivi.
Muda huo huo unakua umeunga Dakika za Kupiga...
Dada mmoja amesahau password ya kufungulia simu,,,kajaribu Mara 24imejilock,,,inadai Nina LA mamake kama sawli LA security,, na google account na yeye hana na alive msetia hakumbuki,,,he...
jaman shikamooon ,Dada na kaka zangu Mimi ni mdogo wenu nataka kununua laptop ya chuo cha afya Ila kuna MTU anata kuniuzia aina hiii
Pc Ram 8GB,
1000GB
core i3
kwa laki tatu na...
Tecno Y4 Nimezoea nikibonyeza kwenye screen inatoa mwanga ila Jana charge iliisha kabisa nikaiweka niicharge ila nilipobonyeza kwenye screen haitoi mwanga mpka nininyeze kwenye batani zake za...
Wana jamii forums nna simu apa tecno w4 nimejaribu kuroot Mara nyingi na imekataa . nitumie njia gani ili niweze root maana nakosa mambo mengi nisipo root asee
Msaada tafadhali.....
Sent using...
Habari wana jamii forum naombeni msaada wenu wa dhati kutoka moyoni maana naumia sana nimenunua simu galax s6 nimetumia kama mwezi na nusu saivi haishiki mtandao wakati ilikuwa inashika vizuri tu...
Wale wakali wa photo editing,pc &phone games....nimeandaa whatsapp group karibu tupeane maujuzi....fungua link kujoin[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
(pc games+onlive tv+photo editing)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.