Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jaman kuna MTU muuza laptop yeye yupo dar~es~salaaam Mimi nipo mwanza unataka kuniuzia PC je mzigo utafika salama ama ndo wizi bado sijatuma pesa natafta ushaul kabla ya kufanya maamuzi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu nina tatizo kwa simu yangu Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ni nini? Maana yake ni...
1 Reactions
49 Replies
10K Views
Nina Tv ambayo ina internal Receiver. yaani napokea free to air channels kama ITV,CITIZEN,CLOUDS,CHANNEL 10,AL JAZEERA,SAUD2,STAR TV,STAR MOVIES PLUS,STAR BUNGE n.k Je! kuna utaalamu gani au...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
.
0 Reactions
4 Replies
895 Views
Habari wana JF, Ni muda mrefu sana toka kuandika makala hapa lakini hii ni kutokana na changamoto kadhaa lakini sasa tumerudi tena. Basi bila kuwachosha sana leo nimewaletea hii ya Kupata pesa...
6 Reactions
13 Replies
23K Views
Habari Wakuu! Kawaida hua natumia "Startimes" Digital satellite Receiver pamoja na decorder yake. Lakini karibuni nimepata "MediaCom MFT-930plus" satellite Receiver (MPEG2). Swali ni Je! Naweza...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Microsoft imetangaza Nokia X zitahamia Windows Phone na hivyo kuwa mwisho wa kutumia operating system ya Android ya mpinzani wao Google. Among the details in Microsoft's big layoff news was...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu. NAOMBA msaada kwa yoyote aliye na simu Aina ya samsung J3 (2016) na aitumii,au ni Mbovu kitu kingine tofauti na Display Screen. aniuzie spare ya Display Screen, yangu imevuja wino...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa Nina laptop yangu aina ya dell latitude 6400 haitoi sauti toka Jana usiku Hivyo ninaomba mwenye uelewa na aina hii ya laptop anisaidie
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naombeni mnisaidie kuhusu hili Play store ya simu yangu tecno C5 inaandika hivi *error retrieving information from server . [RH-01] * Je nini tatizo na solution yake wakuu ????
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti game LA dream leaguer linanipatiaje PSA..?
1 Reactions
6 Replies
931 Views
Wadau habari, naomba msaada jinsi ya kukonect social medial icons like facebook page, twitter, instagram na youtube kwenye blog nimejaribu kucheza nayo nachemka, natumia soratemplates, nifanyaje?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Kompyuta yangu ina-run games very slow mpaka wakati mwingine inakera, sasa kuna mtaalam mmoja nilizingumza nae akanambia huenda tatizo ni drivers hasa Display drivers, kwa hiyo...
0 Reactions
7 Replies
882 Views
Wakuu katika hii account ya Facebook cwez kulike au kucomment chochote pia.siruhusiwi kutuma message msaada Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
904 Views
kama wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi hii app si ya kukosa inafanya kazi hizi. 1. kwa kutumia camera ya simu unapiga picha ya maandishi yoyote iwe ni kitabu au ubao (white board) 2. hii app...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Mwenye account mpya kabisa ,isiyo na barua tuwasiliane tufanye biashara.Nataka ambayo ni hosted maana nitaitumia kwa website siyo blog nb:Kama hujui lolote tafadhali pita kando
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa Nanunua Facebook Groups kuanzia 400k members na kuendelea Je wewe ni admin wa group la facebook na halikuuingizii faida yoyote? basi katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi naomba...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Samahani jamani Kw anaye jua, simu yangu hiyo ni vodafone min 7 sasa ilkua inasumbua kwenye camera nika jaribu kui-reboot. Sasa nashangaa inakuja hivyo kila nikiweka email yangu inasumbua inasema...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni kujua ni app gani ambayo ni nzuri kwa kutengeneza videos kwa kutumia picha au mandishi au vyote kwa pamoja kwa simu za android
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu simu yangu "galaxy note 3 " imekata kabisa mtandao haisomi line zote,nikiweka line inasoma kidogo then inakata fasta,nilikua siitumii niliiwekaga tu ndani kwa kama mwaka hvi Sent using...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom