Habari Watu wa nguvu!
nilisha wahi kutumia simu aina ya Tecno T611 kwa siku za nyuma kidogo.
Kutokana na uwezo mdogo wa simu, lakini ilikuwa inasehemu inayoitwa (Broadcasting setting) ambayo...
Taarifa hii ina wahusu wale wenye blogu au tovuti ambazo zinatangaza bidhaa mbalimbali kutumia google adsense kwenye kurasa zao mbalimbali ambao kwa bahati mbaya Akaunti zao zimefungiwa na Google...
Ni series, nimehanisha kutoka pc moja kwenda nyingine. Kwenye pc niliyotoa nilikuwa zinaplay vizuri, ila sasa hivi juzi nimefingia kwenye hii pc nyingine nikaanza episode ya kwanza na ya pili...
Habari za Sikukuu waungwana,
Naomba ushauri wenu, bajeti yangu ni hiyo tajwa hapo juu (Tsh.400,000 - 450,000). Nahitaji kununua simu yenye specifications mzuri, Android 7, atleast 32GB storage...
Wadau vipi
JF ndo kila kila kitu yan,
Nmekuja tena kuomba msaada wa na namna nitatengeneza logo nzuri yenye kuakis kazi zangu....
Tunajihusha na shughuli za kilimo, kulima, kukusanya na kusambaza...
ushauri please, ni hp 3125 beatsaudio, mwanzo ilikuwa na win8, but kuna kipindi nikampa mtu akaweza win7 hapo pote ilikuwa fresh tu, sasa last month nikaweka win8.1 ilianza kufanya kazi vizuri iko...
Naombeni msaada kwa anayejua matumizi mengine ya Ipad ambayo haisapoti kupiga simu wala kupigiwa, ninayo hapa natumia kwenye Fb,Instagram,Jamiiforum,twitter, hivyo tu je nawezaitumia kwa...
Habari zenu wakuu ningependa mnisaidie njia rahisi ya kudownload file
La torrent lenye ukubwa wa GB 40
Kwa mtandao wangu wa voda(3g) nimecheki naona itachukua siku 2 hadi file lote likamilike...
Na simu ka simu hapa aina ya VDF 301 kame stuck on booting loop baada ya ku remove frp kwa miracle 2.27A crack nime jaribu ku flash kwa firmware mbili tofauti (ndo zilopo mtandaoni for free)...
Nina madishi matatu, DSTV, Azam na StarTimes. Natumia TV ya Startimes ambayo ina kingamuzi kwa ndani. TV hiyo ina line 1 ya ziada kwa ajili ya kuingiza picha na sauti kutoka kingamuzi kingine...
habari wadau..
nimehangaika sana kutafuta huduma ya internet yenye kasi ya uhakika... wengi ni wasanii tu...
nimejaribu speed za mitandao yote ya simu na 4g zao .. zipo zenye speed kama smile...
UNLOCK MODEM ZA 4G TIGO:
Kama una modem ya 4G ya tigo (E3372h-153) ambayo hujaifanyia ANY modifications, nafanyia network unlock ili iweze tumika kwa mitandao yote!. Plus network unlock code pia...
I do really love computers, Actually ningekuwa huko ulaya ningekuwa ana extreme geek maana huko kuna kampani ya maana ya watu wanaopenda computers, Kujua kwangu computer naweza kusema ni natural...
Mimi nikinunua muda wa Maongezi wa 50,000/= Naweza kupiga nchi za nje!
Sasa iweje nikinunua Kifurushi cha Muda wa maongezi nikapata dakika 600 kwa mfano.
Kwanini msiniruhusu kupiga nje ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.