Za kutwa.
Nina shida moja..sim yangu note 5 ina tatzo la network. Yan line inaonekana inasoma bt functions za sim hazikubal(like message.kucall etc).nishapeleka kwa mafund na vodacom bt wamechemka
whether you a developer, a digital bussness enterprenuer, an e-commerce bussness or you are simply looking to use mobile money to ease payment management in your bussness ,the Tigo Pesa API's are...
nimeona website kama ya wasafi.com inatumika kununulia mziki online, je hatuwezi kuwa na kitu kama hicho kwa vitabu? nina kakitabu kananisumbua sana kuuza. na pia bongo kuna waandishi wengi sana...
Wadau nauliza kati ya playststion3 na xbox360 nani mkali?wasilisha maoni yako kama ulishawahi kuzicheza game hizo,halafu mwisho wa yote tunamtangaza mshindi.
Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri. au ni bora ununue maziwa unywe. ni bora ununue juice unywe. airtel wamekuwa wahuni wezi na...
Habari za jioni wakuu,nahitaji msaada wa kimawazo hapa nikichomeka flash kwenye tv yangu uwa inaonyesha kapicha kadogo sio full screen hii inatokana na nini,aina ya tv ni singsung
Habari wana technolojia, nilikuwa naomba kupewa muongozo zaidi katika pitapita zangu za kujifunza kuhusu utengenezaji wa simple site, iliniweze kujiongezea ujuzi, nimekutana na hizi builders...
Habari wadau,
Nina shida kwa mwenye kujua jinsi ya kutengeneza photocopy machine aina ya Canon IR2202. Nikiiwasha inaandika 'Download Mode, Please wait'. Nimejaribu kusoma mitandaoni lakini...
Habari watu wa mtandaoni kuna hii copmuter fujitsu lifebook t730 tablet screen yake imepasuka nahitaji kuibadilisha so natafuta nyingine mpya ya kubadilishia sijajua ntapata wapi maan akama hii...
Wadau kuna hizi tv za sumsung zenye inbiult decoder, ukiweka antenna huwa zinaonesha channel fulan lkn tatizo lngu ni kwamba channel zinaweza kuwa zinaoonekana leo baada ya siku mbili the same...
Habari,
Samahani, natumia simu ya Android lakini sasa najaribu kuunganisha na PC ili nipate nmtandao lakini kila nikiwasha HotSpot inajizima na haiwezi kufanya connection na PC tatizo nini...
Bifansi me sio pro gamer lakini kwa game hili nimetokea kulipenda sana,kutokana na kua na uhalisia wa mambo kama ya kiserikali,mipango mji n.k.
Ni very additive ukilielewa na kulizoea,kwa wale...
Wakuu habari za mchana!!!!!!!!!
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika,
Kuna apps zinaweza pakua apps nyingine na ukawa una serve space kwenye simu kama iyoo parallel space sema ii app...
Hosanna Higher Technologies Ltd deals with, among other things Training.
We are going to Resume Our Online Live Classes Training this October. We are taking opinions of our customers as well as...
Leo microsoft wamezindua simu mpya ya nokia x2 ambayo inarun forked android version ya aosp. Simu hiyo ambayo itauzwa around 220,000(bila vat) inatumia processor ya snapdragon 200 cortex a7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.