CPU yangu ina njia tatu za sata lakini pia ina sehemu mbili zilizo achwa Kwa ajili ya njia zingine za sata
Mimi niko Arusha, na ninaomba Kama kuna mtaalamu yeyote wa kazi hizi na yupo arusha...
wakuu Habari za majukumu
kuna video nataka kuangalia but nikiplay napata error { Windows Media Player cannot play the file. The Player might not support the file type or might not support the...
Naomba mwenye Link au app ya ESET Smart Security full key 64Bit anitumie kwenye Email selestinmichael@gmail.com au tupia hapo down Naomba sana wadau kwani natumia ambayo ni trial for 30 days ile...
Habari wakuu.. naomba msaada nina page yangu Facebook ambayo iko update muda wote, pia mpka Sasa ina like 500+ na wanazidi kuongezeka siku adi siku, pia people reached wanafika 10000+ kwa kila...
Kwanza wana jf niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku.
Mimi Nina simu ya Tecno w5 lakini sijui ni ya kwangu tu au na wengine.Simu yangu inamatatizo yafuatayo;
(1)Haiwaki button zake tatu za...
Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu,je naweza kutumia dish kwenye flat tv yangu yenye king'amuzi cha ndani bila kununua king'amuzi cha nje? lengo likiwa ni kupata free to air channels Kama B4u...
Hii simu nimeiflash kwa sp tools, baada ya kuflash tu imekuwa na Tatizo la Touch
Wakuu nawezaje kutatua hili kwani nishajaribu touch kadhaa mzima tatizo ni lile lile
nimenunua umeme wa buku tano lakini nikiweka token kwenye mita ,mita inaandika reject au error 6 nisaidieni nifanyeje maana mwenzenu leo huenda nikalala giza.
Habari zenu wakuu
Leo naomba kufahamishwa mambo machache kuhusu gari za automatic
Oil ya gia box inapaswa kumwagwa kila baada ya km ngapi?
Je ni kwel engine oil inatofautiana, yaani zipo za...
Wakuu naomba msaada wenu nataka kuundA App nitakayochapisha simulizi zangu maana nina kipaji cha uandishi msaada jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
I have a business in Tanzania, though I am LA, I want to verify my business in Tanzania and put it in a map, but the thing is, in Tanzania NO physical address, how do you guys manage this one as I...
Mabibi na Mabwana salaam. Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza division na points zake kwenye matokeo ya wanafunzi kidato cha nne, kwenye EXCEL score sheet. Tafadhali ni urgent kwangu maana...
Nimechunguza na kufatilia sana hi ishu kwamba kwanini nchin kama Kenya wapo mbele kwenye haya abmo ya kutengeneza games na softwares nikagundua kwamba asili ya wabongo nayo inachanhia...
Habari ndugu zangu,
Kwa kifupi nina iPhone 4s, lakini naona battery yake haipo vizuri (nikimaanisha kwamba utwezo wa kutunza chaji ni mdogo), hivyo nilikuwa ninahitaji kufahamu gharama za battery...
Wakuu natafuta IC ni spea kwa ajili ya Projector. Mtu yeyote aliyenayo au aliye na uhakika mahali inapopatikana naomba anijulishe. Ni TOP256YN, asanteni wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.