Nilikuwa nauliza kama simu yangu inaowezekano wa kupona tatizo la network kwani Fundi ameniambia simu umefungiwa na tcra hivyo inahitajika kufunguliwa je itafunguka
Sent using Jamii Forums...
The Android app sends you thousands of visitors daily to your site. Simply enter your URL and click on Start. The application will automatically send and send visitors infinitely and unlimited...
THE 10 MOST EXPENSIVE CARS IN THE WORLD
The most expensive cars in the world are about so much more than transportation. These rolling art pieces encapsulate the priorities of the one percent, and...
Habari za mchana,uwa nikilogin facebook kuna video uwa zinanivutia nilikuwa nahitaji kufahamu kama naweza kuzidownload
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwamba sijui kbs bali nahitaji kufahamu kiundani zaidi..
kuna baadhi ya maeneo kumekuwa na hudama ya WIFI nataka kujua huo mtambo wake unafanyaje kazi?,hlf ni free intanet sasa makampuni ya...
sasa wabongo hapo ndoa zitavunjika kisa ni Iphone 8. Waume watalazimishwa walipe milioni mbili ili wake wang'are na Iphone 8.
Isiwe tabu wewe kama Tecno yako au Huwaee ina WhatsApp na FB uko...
Nauliza wapi ntapata gamepads[emoji452] [emoji452] [emoji452] (game controller za Bluetooth) kwa ajili ya android smartphone.
Hapa Iringa mjini nimekosa....
Msaada tafadhari .[emoji452]...
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa mpira napenda pia kucheza gemu zetu izi hasa FIFA na PES ila FIFA ndo sana.
Kwa mtu anayejua jinsi ya kuipata online labda kuindownload kwa PC nafanyeje? Nataka...
Wakubwa shikamoni,wadogo habari zenu.
Nlikuwa nina shida moja nilikuwa nauliza wapi nitapata Wi-Fi router ambayo itaniwezesha kuungalisha internet kwenye tv yangu ya Samsung Smart tv 49
First...
Mimi ni mwanafunzi ninae taka kwenda kusomea afya Ila Nina laki tatu na nusu nataka kununua laptop je ntajua vp kuwa laptop hiii ni originally wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo vipi wadau,
Niko na ipad tajwa hapo juu softawre yake imekuwa outdated, naweza ku update? Na kama yes, let me know gharama yake
Niko zanzibar. Mwasiliano nichek pm
mauRT
Nina tatizo ya hiyo camera yaani picha zake zinatoka na ukungu, tatizo cjui ni nini, hata haioneshi kabisa clear na maukungu tuu mweny ujuzi, msaada tafadhali.
Nafanya Blogging Pia Namiliki Blog Moja Inaitwa Gospo Tone Ukifungua hapo utaiona namna ilivyo
naombeni msaada wa kupata approve ya adsense maana nimefanya mara kibao ila huwa nakuwa disaprove...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.