Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Is it possible to have science without technology. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wakuu..... naomba kwa yyte anaeweza kunielekeza namna ya kuchange LOCK SCREEN WALLPAPER kwenye c9 ili niweke picha nnayoitaka mimi co zile hios wallpaper msaada tafadhali.... but cm...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu, mwenye kuijua hii program naomba anipe ujuzi kidogo. Mfano vitu vya mhimu ni kama vipi? Je, hasahasa inatumika kwa mambo yapi? Mfano mtu akikuuliza unajua nini katika microsoft excell...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Salaam wakuu. Nimejaribu ku download free and trial QuickBooks lakini napo jaribu kuinstall inanitaka niweke pin, Msaada mwenye ujuzi zaidi au au kink anisaidie Natanguliza shukrani Sent using...
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Habari za leo wanaJF, Ningependa kujua bei ya iphone 4, 4s na 5 kwa tanzania. Nahitaji kujua bei zake zikiwa mpya na used in a good condition. asanteni
1 Reactions
27 Replies
27K Views
Ndugu zangu wana JF kwanza poleni kwa matatizo yaliyolikumba taifa letu, tuzidi kuomba uzima kwa kiongozi wetu. PC yangu (Laptop Hp) imekataa kucheza video na hata mp3. Player za VLC na Windos...
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Naomba mwenye uelewa juu ya teknolojia hii (Data technology) anieleweshe. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
727 Views
Wakuu nina mini laptop ina port mbili na zote zinachagua flash disk yani unakuta hii inasoma hii haisomi nini shida apo wakati ni mpya ilikuwa poa.
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Mwenye kujuwa jinsi ya kuongeza "likes facebook" jaman naomben ujuzi wakuu
0 Reactions
5 Replies
889 Views
Inauwezo wa kugundua kwa Usahihi hadi 91%. Utafiti umeonyesha Mashoga/wasagaji kuna kitu cha kufanana katika muonekano wa uso wao. Ubashiri kuwa mtu ni shoga/msagaji kwa kumuangalia kwa jicho la...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Huna haja ya kuwaza tena. Endapo utapoteza vitu vyako muhimu. Kwenye CM yako. Hiyo app inapatikana play store bureee. Kazi kwako kufuata maelekezo tu.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
*Penta-M Computer Health Care Services (PCHCS)* inapenda kutangaza nafasi mbili (2) za kujitolea(volunteers) na baadaye ajira kwa taaluma zifuatazo : *1. Fundi Computer (Software & hardware...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwanza kabisa kama ulishaiweka katika kompyuta yako, iondoe/uninstall futa folders zote zinazohusiana na IDM (au zenye majina ya "internet download manager") restart kompyuta yako fungua...
9 Reactions
48 Replies
10K Views
Kwa wale wapenzi wa soccer games.Kuna PES ambayo ni offline?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ndugu wananjamvi naomba msaada wa jinsi ya kuunlock modem mpya ya zantel aina ya D-Link DWM-222 ili itumie laini zote za 4G maana inatumia lain moja tu ya mtandao huo. ASANTENI WANAJAMVI.
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Hii kutokana nakuulizwa swali hili na watu wengi katika email Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye simu moja. Leo nitatoa maelekezo mafupi...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Rejea kichwa cha uzi hapo juu kuna hii simu aina ya tecno WX3 ..kuna dadaangu kainunua kwa mtu nimemwashia inaleta mlolongo huu wa setting tafadhali msaada kwa mwenye uelewa picha hizo hapo chini...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Wanajamii nawasalimu wote...habari zetu. Mimi natumia simu aina ya LG (G FLEX) curve sasa tatizo haitaki kufungua menu ya miamala ya mitandao ya hapa Tanzania, nikijaribu inaniletea ujumbe usemao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tupia jina la timu yako tukufuate online. Baada ya mpambano "screenshot" inahitajika.....
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom