Wakuu nauliza app ya kusomea vitabu Kwa tablet Pc ambayo itanipa flavour ya kusoma kama vile nipo kwenye hardcopy nina mini pc ina run Windows 10, Nataka software ambayo ninaweza ku resume page...
Hello guys nmekuwa nikusumbuka sana kusolve hili swali kwa calculator https://www.jamiiforums.com/threads/zawadi-ipo-kwa-ataeweza-hili-swali.1322664/page-3#post-23574378 Hatimae nililisolve bila...
Wakuu wa jf habarin za mchana
Nina wazo LA kuwa na website na nimeshatafuta watu kam watatu wa kushirikiana nao hawa ni wa computer ila Nina duku duku katik upande wa mbele wa muonekano na ni...
kwa wale wapenda game la fifa siku ya ijumaa game la fifa18 litaanza kupatikana officially katika device tofauti tofauti kama game consoles, pc, phone etc. nini maoni yako baada ya kuangalia demo...
Ninaomba msaada kwa yeyote anaefaham ukwel kuhusu hili je ni ukwel kuwa laptop ambazo ni refubric haiwez kuongezewa hard disk au kubadlishwa hiyo had disk? Cuz mmi nna hp envy ina ssd 32gb vpi...
Akaunti yangu ya facebook leo nililog out kuingia tena inagoma wakati naingiza email yangu ileile ninayo ingilia kila siku na password yake cha ajabu inagoma maada tafadhali[emoji122]
Habari zenu wakuu
Nina simu tajwa hapo juu (LG-G2. 801D inazingua kufungua Bluetooth na wifi. Yani ukifungua wi-fi inakua ON for not more than 2sec, kwaupande wa Bluetooth doesn't switch on at...
Hello Habarini za asubuhi watalaam, Ninawebsite yangu ambapo huwa nina access kwenye Cpanel ,sasa kwa muda kidogo nimekuwa natumia ku login via Client Area kwenye website ya host wangu, sasa leo...
BISMILLAAHI RAHMAAN RAHIYM
Ili kufanisha hill huna budi kufuata hatua zifuatazo:-
HATUA
1- Ingia kwenye CMD
2- Andika COLOR Z
3- Bofya kutazama hatua zifuatazo.
USISAHAU KU SUBSCRIBE.
Kwanini mimi ninahisi hivyo?
Sababu:
(1)
ukiingia mtandao huo ( mitikaz.com ) unapelekwa kwenye sehemu ya kuchagua nchi,
(2)
lakini nchi karibia zote hazina bidhaa ya kuuzwa, kasoro Tanzania, na...
Kampuni ya Google kutoka Marekani imeinunua kampuni ya HTC ya Taiwan kwa $1.1 Bil. Makamu wa Rais wa kampuni hiyo upande wa hardware, Rick Osterloh amesema dili hilo lipo hatua za awali na...
Habari wadau, natumia samsung galaxy J2 Duos, hii simu ni nzuri saana na nnaipenda , tatizo limekuja hapa.
Hii simu ipo na Opearating System Lollipop 5.1.1 nahitaji japo kui-upgrade kidogo kwenda...
Habari wanajamvi wenzangu,
Nimepatwa na matatizo kidogo naomba msaada wenu wa haraka sana. Week kama moja iliopita nilikuwa na ugomvi na mtu ikapelekea nikamtukana sana na pia nilimwambia maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.