Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ni takribani miezi 6 imepita tangia kampuni ya simu ya nokia kuingia kwenye platform ya android ambayo inaushindini wa hali ya juu katika medani za smartphone tulishuhudia simu 3 za kisasa...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Samahani jamani anaejua jinsi ya kublock accont ya facebook anielekeze
1 Reactions
4 Replies
676 Views
Katika tafuta tafuta yangu mtandaoni ili niweze kuwa na speed kubwa, maana nimekua nikiona watu wanasema wana type kwa speed ya 120WPM(Words per minute),Nimekutana na kitu inaitwa Almena Method...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Naomba kujua, hivi ads katika simu zinasababishwa na nini? na pia ni njia gani naweza ziondoa maaana pindi ninapowasha data zinakuja hadi zinakeraa. Msaada wadau.
0 Reactions
3 Replies
688 Views
Naomba msaada formula ya kutafuta division kwenye matokeo ya wanafunzi Ninawafunzi kama 100 hivi na wana masomo kuanzia 8 haadi 10 kila mmoja lakn masomo yanayotakiwa ni 7 tu aliyofanya vizuri...
0 Reactions
4 Replies
822 Views
Habari zenu wakuu. Napenda kutengeza website as a hobby sasa katika research zangu nimekutana na wordpress wakisema kuwa unaweza kutengeza website ata kama sio mtaalamu wa coding. Nimeinstall...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
KickassTorrents : Latest torrents
5 Reactions
6 Replies
932 Views
Habari wakuu.. nina YouTube channel sasa naitaji kwenda live kupitia video mfano kama baadhi ya channel za online muda mwingine unawakuta live wamejiunga na TBC wengine live wameweka bongo movie...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Ndugu habari za majukukmu samahani naomba msaada kwa anaejua links za videos converters ambazo zinafanya subtittles editing na zinaconvert videos in high quality plz tusaidiane plz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari was JF Naomba msaada wa formula ya kupanga matokeo kwa kutumia division Division zinapangwa kwa kutumia masomo 7 tu ambayo mwanafunzi amefaulu zaidi kapo wanafunzi wamefanya masomo hadi 10...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Wakuu habarin,naomba tuchambue kwa kina hizi website za vyuo vikuu tz,naamini kila chuo kikuu kina site,jaribu kutizama web view,contents,functionality etc. University of Dar es Salaam > UDSM...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu, Simu tecno W3 imezima ikiwa inachajiwa ni nini suluhisho lake mwenye kujua.
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Naomba kuuliza flat screen aina ya bish kwamwenye uzoefu inaubora kiasi gani...
0 Reactions
5 Replies
620 Views
Jaman CD hii inakazi gani mhimu katika computer Free DOS. operating system install CD and source code
0 Reactions
2 Replies
5K Views
wadau naomba kufahamu jinsi ya kuondoa picha ambazo umezipost kwa bahati mbaya kwenye Facebook(public)
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Natumaini mko poa wakuu, Naombeni msaada kwa anaefahamu namna ya kuifuta account ya facebook ya zamani ambayo nilishapoteza password yake na siitumii tena kwa zaidi ya miaka 4 sasa. Tatizo ni...
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Kama ilivyoada katika kuelimishana masuala ya pc gaming leo naomba nitoe somo kidogo kuhusiana na PPSSPP FOR WINDOWS 1.4.2 Kwanza tujue hii ppsspp ni nini PPSSPP hii ni emulator y psp, ambayo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuuliza iv inawezekana kuresert password za computer win 10 pasipo kuloose data zako ,na kama inawezekan softwire gan zinaweza fanikisha kuresert password???
0 Reactions
1 Replies
592 Views
Wadau wa jamiiForums samahani kama kuna mwenye keys activator for idm tusaidiane maana nilikua natumia trial version sasa imeisha muda wake wanataka keys to register, so please kama kuna mwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom