Zajion wadau, jaman TV yang ya Philips flat nmeiwasha inaonyesha ranging nyeupe tu,nikibonyeza menu haifany kaz,hamna chochote kinachoonekana zaid ya rangi nyeupe,msaada tutan
Kwa wale wanaopenda magemu sasa unaweza kutumia gari, barabara, ndege na chochote kile kinachouzwa. Naomba unitajie jina la game unalolipenda na unashindwa kulicheza kwa uhuru sababu kila kizuri...
Habari zenu wataalamu akina CHIEF MKWAWA
Nilikuwa naomba marlekezo kuhusu hii TV ya Samsung smart TV je naweza kudownload nyimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauliza namna yabkupokea pesa from bitcoin to tigo pesa au mpesa.... mwenye kujua application nzuri ya bitcoin nzuri & procedures za kuwithdraw money naomba anisaidie
Wana jf Naomba Msaada kuna simu Tecno H5
Nikiiwasha inaleta maandishi ya Tecno haindelei cjajua tatizo ninini!
Simu haina memory Naomba Msaada wenu wajuzi WA mambo hayo
Natanguliza shukrani
Sim haina hata siku moja nimetoa dukani ikiwa nzima sasa imejifunga hivi. Maelezo ya google mengi ni kuiflash mwenye njia mbadala au namna naweza kuiflash mwenyewe nilipo hakuna fund huyo nina PC...
Wadau leo naomba kusaidiwa, nawezaje kuitumia simu yangu ya smartphone itumike kama projector?
Lkn pia mara nyingi ukitaka kurusha matangazo au presentation huwa tunatumia computer kama chanzo...
Naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa kuchapa page yoyote ya word na kuiprint kwa kukonect simu na printer? Kama ndio nifate taratibu zipi? Nawasilisha
Je, ni pointi gani unatamani ungekuwa unaijua wakati unaanzisha blogu. Tafadhali toa maoni yako na hebu tuifanye makala hiii kuwa ya lazima kuisoma kwa wanablogu wapya.
Kutokana na Wimbo wa DiamondPlatnumz - Hallelujah kufikisha views 1M ndani ya Saa 15 tu, Imeleta minong'ono mingi ya kwamba jamaa ananunua Views na ndio maana Msanii mkubwa kama yeye hayupo VEVO...
Jamani habarini, naomba kufahamu, kwa nini matangazo ya google adsense yayaonekani kwenye baadhi ya post ninazoweka kwenye site yangu?
Na pia nime-experience hivyo hasa kwenye post za kiswahili...
Wasalaam wana tech,
Naomba niitambulishe nyuzi hii hapa jukwaani, itakuwa msaada mkubwa kwa vijana wanaosomea fani mbalimbali za uhandisi, na hata wale wasiosomea bali hupenda kujifunza zaidi...
Katika upekuzi wangu mtandaoni kupita huku na kule, nikasema ngoja niingie website ya TCRA huku na kule nikaingia kwenye tenders na kukutana na hii kama mojawapo ya International competitive...
Natumia laptop yenye windows os. Kila ninapotaka kufahamu kinachoendelea kwenye kompyuta
ninafungua task manager na kufahamu yote yanayoendelea. Kufungua task manager natumia button tatu:
alt +...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.