Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAH WABARAKAATUH. ILI KUROTATE SCREEN YA COMPUTER, TAZAMA VIDEO HAPO CHINI.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wanazuoni. Mimi Nina elimu mwisho kidato cha sita na ckuweza kuendelea na masomo ya elimu ya juu kwasababu ya ufaulu wangu haukua mzuri wa kidato cha sita Ila ninapenda sana kuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Msaada jinsi ya ku unlock vodafone 875 zitumie laini zote. Natanguliza shukraan.
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Ndugu wana jf naomben msaada namna ya ku unlock huwawei Y300.aksanteni sana.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Dear wahusika, Nina widows website, n I would like to set a donation page, sasa nimestuck hapa, juu ya which company deals with e commerce business tht allows receiving payments and money...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Wadau natumia window 10 ktk hiyo simu but shida yangu kubwa nikitaka ku download apps ktk store nafanikiwa kwa apps zenye MB ndogo ndogo, lakini zenye MB nyingi kuanzia 100 na kuendelea inaanza...
0 Reactions
4 Replies
932 Views
MY INTRO Je ni nzuri? Nipe maoni yako. INTRO >>> Utangulizi katika video. Kama unavyoona maybe ITV kabla ya taarifa ya habari kuanza si kunakuwa na kionjo flani hivi? Hiko kionjo ndio intro.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salam wakuu,natumaini asubuhi iko njema.Wakuu nimenunua simu ya Tecno N2 duka la Tigo ila kinachonishinda ni kuona Sim card 2 ambayo ni Voda inagoma kukamata 3G badala yake inashuka E Pekeyake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By AGENCE FRANCE PRESSE, STOCKHOLM, Sweden, Oct 2 – US geneticists Jeffrey C. Hall, Michael Rosbash and Michael W. Young were awarded the Nobel Medicine Prize Monday for shedding light on the...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Hey, Have you entered this competition to win Samsung Galaxy S8 Plus International Giveaway! yet? If you refer friends you get more chances to win :) Samsung Galaxy S8 Plus International Giveaway!
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Kuna mnavyojua mbali na JF watanzania wanategemea sana hii site ya millard ayo kupata habari na matukio hasa videos. Lakini hii site hovyo kabisa,kila mmoja anaona vitu tofauti na mwenzake...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
naomba mnisaidie namna ya kupata coin kwenye dream league 2017
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Habari, matumaini yangu ni wazima naomba msaada wa kufuta kila kitu kwenye simu maana nimeweka email ambayo nimesahau password yake so nikienda kwenye factory reset inaniambia weka password ambazo...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu nina shida na game la euro coach simulator ambalo developer wake ni wale waliotengeneza euro truck simulator 2. Nimejaribu kudowload torent na setup za kawaida nyingine had GB 5 lakini...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji adobe Photoshop. Wapi naweza kuipata bure ndugu zangu? blame no body
0 Reactions
20 Replies
39K Views
Wakuu habarini,kijana wenu hapa Nina blog yangu ambayo nataka kui monetize kupitia adnow ili iweze kutumika kwa matangazo nami nipate malipo.tatizo ni pale ninapojiunga nayo tena katika sehemu ya...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Habari wakuu wa jukwaa, Naomba msaada, Kublock namba ngeni pindi ninapopigiwa, lakini nijue namba iliyoingia, yaani nione kama arlet hivi kwamba namba fulani imenipigia. Naombeni msaada wenu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba anayejua link hizo anisaidie ili niweze kucheck news mbalimbali kupitia vituo hivyo vya tv. Kwa muda mrefu naangalia clouse tv tu kupitia simu yangu ( live news) na hii...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Wataalam naomba mnisaidie namna ya kuondoa hii notification ya SMS yani ,sehemu ya app ya SMS inaonesha kuna msg imeingia lakini nikifungua hakuna msg yoyote na nimefuta msg zote kwenye simu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda huu, nimepata shida kidogo nikiwa na download Videos kutoka sites zifuatazo. 1. HDpopcorns.com 2. Moviescouch.com Hizi sites zina Movies nzuri tena latest tatizo liko hapa...
0 Reactions
5 Replies
462 Views
Back
Top Bottom