Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu Kwa Anayejua Hii MiFlat Screen Ya TCL Likigoma Kuwaka Unalifanyaje Au Ndo Hadi Kwa Fundi. Maana Limegomea Hapa Tangu Jana. Inawaka Taa Nyekundu Tu. Lilianza Kwa Kuzima Na Kuwaka Alafu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habarini , ningependa kujua je ni language gani iliyo tengeneza jamii forums web app??? pia kuna baadhi ya site zimetengenezwa kwa php ila ikiwa online huwezi kuona extention ya .php je huwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu Muda huu nikiwa nasikiliza redio one wakijadili mambo ya maabara katika shule za Tanzania Mmoja wa wachangiaji amesema kuna wanasayansi maarufu duniani wanatokea Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau natumia tecno camon C9, nataka kuamishia docs zangu kutoka kwenye simu yangu ambazo ni texts, zipo watsup na nyingine Facebook, naomba nieleweke haziko kwenye media form Nifanyaje Asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaaada guys nani aliye na skills ya kurudisha picha zilizomezwa na virus kwenye memory card
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu kwa yeyote mwenye utaalamu na kuprint circuits kwenye copper board (pcb) hususani kwenye maswala ya copper board, chemical upatikanaji wake na bei zake nahitaji msaada.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, kwa mwenye kujua jinsi ya kupata channels za kibongo nikiwa Iran kwa njia ya sattelite basi tupeane maufundi hayo. Asanteni sana wakuu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari zenu akuu leo nilikuwa najaribu kuinstall kali linux katika pc yangu sasa kabla ya kuanza kuinstall inaleta ujumbe huu msaada kwa yoyote mwenye ujuzi juu ya kutatua tatizo hili
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nimekwama naomba maujanja ya ku unlock modem ili niweze kuitumia kwa laini za differenct subscribers
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wa pc yangu yenye windows 10. Toka juzi iko slow sana nikitaka kubrowse. Ambapo awali ilikuwa fast sana. Naomba anaefahamu namna ya kufanya iwe fast plz anisaidie
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna taarifa zipo kwenye mtandao wa kupatana watu wanasema wanaweka channel za dstv kwenye ving'amuzi vya hapa Kwetu mfano Azam, star times nk, Je, kuna ukweli kuhusu ilo? Maana inaonyesha jamaa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Naomba mnielekeze namna ya kurejesha SMS nilizozifuta kwenye SIMU.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wajuvi wa mambo ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea kulisongesha gurudumu la maisha. Binafsi namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa ni mzima na naendelea vizuri pamoja na familia yangu. Penye...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
habari za siku nyingi ndugu wa jf mimi ni blogger nipo na kablog kangu haka Zotekaliblog – The House of Entertainment News huwa napata mia ndogo ndogo namshukuru mungu miezi iliyopita nilipata U$D...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka kusoma kwa njia ya mtandao somo la IT
1 Reactions
4 Replies
664 Views
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natumia simu hii mwezi wa tatu sasa yaan iko slow sana . Nawasilisha... Nganga jr.
1 Reactions
3 Replies
751 Views
Habari wanajamii! Nililinunua simu aina vodaphone smart bomba V301 line mbili sasa kwa upande wa data inataka tu voda haikubali niweke line nyingine ata hivyo data inatumia tu line 1 ambayo lazma...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji Mtaalamu Wa google webmaster tool Tufanye kazi. Kama yupo humu ani pm
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Msaada kwa wenye uelewa na ili swala nlipiga picha kwenye cannon D90 nkachomoa memorycard nkaweka kwenye computer ili nikopi picha ikasoma afu ikatoka ikasoma tena picha 8 kati ya 80+ zilizokuwemo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom