Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi?,
Utapata channel ngapi maana sio wote tunapenda madishi ya futi 6 au futi 8
Kuna mtu anatumia madishi madogo ya KU...
WAKUU habari zenu nina tatizo moja pc yangu inastak labda unaangalia movie au unatype basi ikigoma hapo ni mpaka siku tatu mapka nne ndio inakubali kurudi katika hali yake
Naomba msaada ni...
Hello wakuu
Kuna hii sms App iko poa sana aisee
Nashauri Wale wanautumia chatting than calling basi hapa ndo pahala pake
#sms#email chat for android users
Android. Mood Messenger - Messagerie...
Wakuu samahanini...Simu yangu S6 edge imekua na tatizo la kujizima na haiwezi kuwaka bila kuichomeka kwenye chaji..nimejaribu kuifactory reset lakin tatizo bado...Mwenye uelewa naomba msaada
ni samsung GT 9190 internal memory kuandika full wakat kuna GB 15 nimeenda Storage-clear cache ila nikidownload apps,inasema not space enough
TATIZO LINGINE
Simu haipandi 3g,kila nikiset...
Kwa wale watalaam wa umeme nilikua naomba kujua kama inawezekana ku convert single ya volt 230 phase ac supply to three phase ac supply yenye volt sawa na zile zinazotoka Tanesco.
Yaani ni...
Habari??
Natumia windows kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Ila naona nasumbuliwa na ku activate kila mara so nimeamua kuijaribu Ubuntu ili niwape likizo microsoft!!
Haya ndiyo maswali yangu...
1...
Jamani habarin,
nataka kununua kikotoo kipya kabisa kutoka dukani (kwa matumizi ya pure math), ila nimeambiwa kuna bahadhi ni feki, je nitawezaje kujua kikokotoo/Calculator hiki ni feki au genuine?
Calling for bloggers and social media influencers based in Tanzania who are passionate about using the power of the Internet to bring about positive change in their communities.
APPLY NOW-
Nenda...
Habari....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nimekuwa nikisikia kama upo uwezekano wa kupata channel bila ya kulipia kupitia Cable TV na ninatumia king'amuzi cha AZAM ila na wao hawakusita...
Habari za kazi wakuu,
Niko hapa mwanajukwaa mwenzenu nimepatwa na tatizo katika simu yangu, kila nikitaka ku press menu inaniandikia "unfortunately, launcher3 stopped", natambua uwepo wa waganga...
Simu za apple mwaka huu zitapata updates mpaka iPhone 5s ya mwaka 2013 je Android simu gani itapata updates ya Android Oreo kama Hakuna zidumu fikra za Steve jobs
Habari wataalamu wangu
Is there a way naweza kuconnect live event nayoangalia kwa kustream kwenye mobile yangu ionekana kwenye TV?
Kama Yes ni TV aina gani inatakuwa na App gani niwe nayo kwenye...
Wakuu kwema humu? Nataka nijue kama inawezekana kuinstall window 8 au 10 kwa kutumia Memory card pc yangu ports zina zingua ni mini laptop ni reset ikazima ghafla ivo inawaka na na kuzima ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.